News
-
VIONGOZI WATAKIWA KUHAKIKISHA KWAMBA USALAMA UNAIMARISHWA WAKATI HUU WA KAMPEINI NA BAADA YA KAMPEINI
Idara ya polisi katika kaunti hii ya Pokot magharibi imetoa wito kwa wanasiasa kuhakikisha kuwa amani inadumishwa kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwezi agosti ili kila mmoja […]
-
WAKULIMA TRANS NZOIA WAELEZEA HOFU YA KUSAJILI HASARA MSIMU HUU.
Baadhi ya wakulima wa mahindi katika kaunti ya trans nzoia wameelezea wasi wasi wa kusajili hasara kubwa pindi watakapovuna mazao yao mwishoni mwa mwaka huu.Wakulima hao wamesema kuwa wengi wao […]
-
VIJANA POKOT MAGHARIBI WAKASHIFU VURUGU ZINAZOSHUHUDIWA KATIKA MIKUTANO YA KISIASA.
Wananchi wa matabaka mbali mbali nchini wameendelea kukashifu vurugu ambazo zilishuhudiwa katika mkutano wa muungano wa Kenya kwanza hiyo jana katika uwanja wa Jacaranda jijini Nairobi ambapo makundi mawili pinzani […]
-
WAKENYA KUENDELEA KUGHARAMIKIA HALI NGUMU YA MAISHA HADI BAADA YA UCHAGUZI MKUU.
Wakenya watalazimika kuendelea kugharamikia hali ngumu ya maisha inayotokana na kuendelea kuongezeka bei ya mafuta hadi baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 9 mwezi agosti wakati vikao vya bunge vitakaporejelewa […]
-
POGHISIO AHIMIZA KUZINGATIWA TAMADUNI ZA JAMII YA POKOT.
Ipo haja kwa viongozi mbali mbali ambao wanachaguliwa kuongoza kaunti hii ya Pokot magharibi kuzingatia pakubwa swala la tamaduni za jamii ya kaunti hii.Akizungumza baada ya kuhudhuria sherehe ya kitamaduni […]
-
VIJANA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI.
Kiongozi wa vijana youth bunge katika kaunti hii ya Pokot magharibi Richard Todosia amewataka vijana katika kaunti hii kudumisha amani kabla wakati na hata baada ya uchaguzi mkuu wa mwezi […]
-
WANAWAKE TRANS NZOIA WAHIMIZWA KUJIUNGA NA SEKTA YA JUA KALI.
Kutokana na mchango wa sekta ya jua kali kwa uchumi wa taifa ambayo ni asilimia ishirini na tano wakenya wa jinsia ya kike wameshauriwa kujiunga na sekta hiyo ili kunufaika […]
-
WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINADAM WALALAMIKIA GHARAMA YA MAISHA NCHINI.
Wanaharakati wa haki za binadam nchini wameshutumu hatua ya kuendelea kuongezwa bei za mafuta nchini hali ambayo imepelekea kupanda gharama ya maisha wakenya wengi wakishindwa kukidhi mahitaji ya kimsingi kukiwemo […]
-
KIWANGO CHA SAMAKI TURKWEL CHAONGEZEKA
Kiwango cha samaki katika bwawa la Turkwel katika kaunti hii ya Pokot magharibi kimeongezeka hali ambayo imepelekea kuimarika biashara ya samaki eneo hili.Mwenyekiti wa mamlaka ya maendeleo ya Kerio valley […]
Top News










