News
-
MIITO YA AMANI MSIMU WA UCHAGUZI YAENDELEA KUTOLEWA.
Mwaniaji wa kiti cha Mwakilishi wadi ya Mnagei kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia chama cha ODM Richard Mwareng’ ameahidi kuimarisha maisha ya vijana iwapo atachaguliwa kuongoza wadi hiyo katika […]
-
MGOMBEA UWAKILISHI WA LWANDANYI APUUZA MADAI YA KUJIONDOA KINYANG’ANYIRONI.
Mgombea kiti cha mwakilishi wadi ya Lwandanyi katika kaunti ya Bungoma Levy Nabangi amepuuzilia mbali uvumi ambao unaenezwa na baadhi ya wanasiasa eneo hilo kuwa amejiondoa katika kinyang’anyiro hicho na […]
-
WAKUU WA VYUO MAGHARIBI YA NCHI WAITAKA SERIKALI KUTOA FEDHA KWA WAKATI.
Walimu wakuu wanaosimamia vyuo vikuu na vile vya anuwai katika eneo la magharibi ya nchi wameomba serikali kutoa fedha za awamu ya nne kwa wakati unaofaa ili kusaidia matayarisho ya […]
-
MADAI YA LONYANGAPUO YA KUIMARIKA SEKTA YA ELIMU CHINI YA UTAWALA WAKE YAPUUZILIWA MBALI NA VIONGOZI POKOT MAGHARIBI.
Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamepuuzilia mbali kauli ya gavana John Lonyangapuyo kwamba sekta ya elimu katika kaunti hii imeimarika zaidi chini ya uongozi […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WALAANI KUTEKETEZWA MABWENI YA SHULE YA MSINGI YA TARTAR.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelaani vikali kisa cha kuteketezwa mabweni mawili katika shule ya msingi ya Tartar.Wakizungumza baada ya kuzuru shule hiyo viongozi hao wakiongozwa na seneta […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA IDARA ZA USALAMA KUKABILI UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO.
Wito umetolewa kwa viongozi wote kutoka kaunti zinazopatikana katika bonde la Kerio kushirikiana na vitengo vya usalama ili kukabili utovu wa usalama eneo hili ambao umepelekea wakazi wengi kupoteza maisha […]
-
VIONGOZI BONDE LA UFA WAPUUZILIA MBALI RIPOTI YA NCIC KUHUSU HALI YA USALAMA ENEO HILO.
Gavana wa kaunti ya Nandi Stephen Sang amekosoa ripoti ya tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa NCIC iliyotaja kaunti 23 kuwa maeneo ambayo yako katika hatari ya kukumbwa na […]
-
SPIKA WA BUNGE LA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI AWASILISHA MAKARATASI YAKE KATIKA OFISI YA IEBC
Mwaniaji wa kiti cha mwakilishi kina mama katika kaunti hii ya Pokot magharibi ambaye ni spika wa bunge la kaunti hii Catherine Mukenyang ameidhinishwa rasmi kuwania kiti hicho katika uchaguzi […]
-
MWANAKANDARASI ANAYE WEKA LAMI BARABARA YA LESOS KOLONGOLO ASHUTUMIWA NA WAKAAZI KWA KAZI DUNI
Wakaazi wa eneobunge la kwanza wamepaza sauti zao kulalamikia hatua ya Mwanakandarasi kutia Lami Barabara ya Lesos Namanjalala Kolongolo ambayo haiwezi kutumika na malori yanayobeba mizigo yenye uzani unazidi tani […]
-
OPARESHENI KALI YAANZISHWA YA KUHAKIKISHA WANAFUNZI WOTE WANAPELEKWA SHULENI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Zaidi ya wanafunzi alfu 4 hawajaripoti shuleni tangu kuanza zoezi la kuwasajili wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kwa mujibu wa kamishina wa […]
Top News










