News
-
ONYO YATOLEWA KWA WANAOVURUGA MABANGO YA KAMPENI YA WAPINZANI WAO.
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imetoa onyo kwa wafuasi wa wanasiasa tofauti kuharibu mabango ya wanasiasa ambao ni wapinzani wa wale wanaowaunga mkono katika uchaguzi mkuu wa […]
-
UMILIKI WA ARDHI YA MUMBAI FARM TRANS NZOIA WAZIDI KUZUA UTATA WAKAZI WAKILILIA HAKI YAO.
Wanachama zaidi ya alfu moja washirika la Mumbai Farm wanaitaka serkali kuingilia kati na kuwapa maakazi kutokana na mahangaiko ya zaidi ya miaka 30 kupigania umiliki wa ardhi ya zaidi […]
-
WITO UMETOLEWA KWA TUME HURU YA UCHAGUZI IEBC KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUENDESHA UCHAGUZI KWA UWAZI
Mwaniaji ugavana kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia chama cha UDA Simon Kachapin amewasuta wapinzani wake wa kisiasa kwa kile amedai kutoa matamshi yanayoashiria kuwa watashirikiana na tume ya uchaguzi […]
-
NAIBU WA RAIS WILIAM RUTO ANATARAJIWA KUZURU KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Mwaniaji urais wa chama cha UDA William Ruto anatarajiwa leo kuzuru kaunti hii ya Pokot maghari kuongoza kampeni za muungano wa Kenya kwanza katika juhudi za kutafuta uungwaji mkono kutoka […]
-
WAKAAZI WA LORENG’O TURKANA KASKAZINI WAKOSA MVUA KWA ZAIDI YA MIAKA MINNE SASA
Mamia ya wakazi wa eneo la loreng’o, turkana kaskazini wanakabiliwa na hatari ya kuangamia kutokana na ukosefu wa chakula kufuatia kiangazi cha mda mrefu.Wenyeji eneo hilo wakiongozwa na naibu chufu […]
-
LONYANGAPUO ASUTWA KWA KUTOCHUKUA HATUA KUKABILI BAA LA NJAA POKOT MAGHARIBI.
Mbunge wa kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amemsuta gavana wa kaunti hii John Lonyangapuo kwa kile amedai kutowajibika katika kushughulikia baa la njaa ambalo linashuhudiwa katika baadhi […]
-
RAILA AAHIDI KUSHUGHULIKIA UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Mgombea urais wa muungano wa azimio Raila Odinga ameahidi kuweka mikakati ya kuimarisha usalama kwenye kaunti za Pokot magharibi, Baringo Elgeyo marakwet na Turkana iwapo atachaguliwa rais katika uchaguzi mkuu […]
-
WASAGAJI NAFAKA TRANS NZOIA WADINDA KUSHUSHA BEI YA UNGA.
Wasagaji nafaka mjini Kitale katika kaunti ya Trans nzoia wamesema kuwa hawatakubali kuuza unga wa mahindi pakiti kilo mbili kwa shilingi 100 hadi serikali itakapowafidia.Wakiongozwa na Robert Wanyonyi, wasagaji nafaka […]
-
WANASIASA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUTOHITILAFIANA NA MAJUKUMU YA WANAHABARI.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amewasuta baadhi ya wanasiasa katika kaunti hii kwa kile amedai kutumia makundi ya vijana kuwatishia wanahabari wanapotekeleza majukumu yao ya kuwaarifu […]
-
‘BABA’ KUZURU WANAWE WAWILI POKOT MAGHARIBI.
Mgombea urais wa chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga na mgombea mwenza wake Martha Karua wanatarajiwa leo kuzuru kaunti hii ya Pokot magharibi kuendeleza kampeni […]
Top News










