News
-
VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA UCHAGUZI.
Tume ya uchaguzi nchini IEBC imetoa wito kwa vyama vya kisiasa kaunti hii ya Pokot magharibi kuhakikisha kwamba vinazingatia sheria za uchaguzi kikamilifu taifa linapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe […]
-
NATEMBEYA AKANA KUWEPO NJAMA YA KUWAFURUSHA WAKAAZI KATIKA MASHAMBA YA KITALALE.
Aliyekuwa mshirikishi wa eneo la bonde la ufa ambaye pia anawania kiti cha ugavana kaunti ya Trans nzoia George Natembeya amejitenga na madai kwamba yuko na njama ya kuwafurusha wakazi […]
-
MHUDUMU WA BODABODA AENEZA UJUMBE WA AMANI BARINGO.
Baada ya kaunti ya baringo kuorodheshwa miongoni mwa kaunti 10 zenye uwezekano mkubwa wa kushuhudia ghasia za baada ya uchaguzi, mhudumu mmoja wa bodaboda katika kaunti hiyo amechukua jukumu la […]
-
IDARA YA POLISI POKOT MAGHARIBI YAHUSISHWA KATIKA UPANZI WA MITI.
Wito umetolewa kwa vijana katika kaunti hii ya Pokot magharibi kujitenga na maswala ya uhalifu na badala yake kujihusisha na shughuli zitakazowapelekea kupata riziki zao za kila siku.Akizungumza baada ya […]
-
MUSTAKABALI WA NPR WAENDELEA KUIBUA HISIA BONDE LA KERIO.
Hisia mbalimbali zinaendelea kutolewa kuhusiana na kauli ya Naibu wa Rais William Ruto ya kurejesha Askari wa Akiba waliofutwa kazi ikiwa ni mpango wake wa kuimarisha amani miongoni mwa jamii […]
-
MASHIRIKA YA KIJAMII YABUNI JUKWAA LA KUKABILI MIMBA ZA MAPEMA POKOT MAGHARIBI.
Visa vya mimba za mapema miongoni mwa watoto wa kike wenye umri mdogo vimeendelea kuripotiwa nchini hasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi wengi wa watoto wa kike wakishindwa kuendelea […]
-
RAIS KENYATA ASUTWA KWA UTOVU WA MAADILI.
Mbunge wa kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amemsuta vikali rais Uhuru Kenyatta kwa kile amesema kutoonyesha maadili yanayofaa kwa kiongozi wa hadhi yake kinyume na walivyofanya […]
-
ONYO YATOLEWA KWA WANAOVURUGA MABANGO YA KAMPENI YA WAPINZANI WAO.
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imetoa onyo kwa wafuasi wa wanasiasa tofauti kuharibu mabango ya wanasiasa ambao ni wapinzani wa wale wanaowaunga mkono katika uchaguzi mkuu wa […]
-
UMILIKI WA ARDHI YA MUMBAI FARM TRANS NZOIA WAZIDI KUZUA UTATA WAKAZI WAKILILIA HAKI YAO.
Wanachama zaidi ya alfu moja washirika la Mumbai Farm wanaitaka serkali kuingilia kati na kuwapa maakazi kutokana na mahangaiko ya zaidi ya miaka 30 kupigania umiliki wa ardhi ya zaidi […]
-
WITO UMETOLEWA KWA TUME HURU YA UCHAGUZI IEBC KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUENDESHA UCHAGUZI KWA UWAZI
Mwaniaji ugavana kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia chama cha UDA Simon Kachapin amewasuta wapinzani wake wa kisiasa kwa kile amedai kutoa matamshi yanayoashiria kuwa watashirikiana na tume ya uchaguzi […]
Top News










