News
-
MIITO YA AMANI YAENDELEA KUTOLEWA CHINI YA MASAA 24 KABLA YA UCHAGUZI WA JUMANNE.
Ikiwa yamesalia chini ya masaa machache tu kabla ya uchaguzi mkuu wa hapo kesho jumanne, viongozi kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kutoa wito kwa wananchi kudumisha amani ili kuwe […]
-
MIITO YA KUDUMISHWA AMANI YAZIDI KUTOLEWA SIKU 4 TU KABLA YA UCHAGUZI MKUU.
Siku nne tu kabla ya uchaguzi mkuu wa jumanne juma lijalo mwaniaji ugavana katika kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia chama cha UDA Simon Kachapin ametoa wito kwa wakazi wa […]
-
IEBC YAWAHAKIKISHIA WAKENYA KUKAMILIKA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU.
Tume huru ya uchaguzi nchini IEBC imewahakikishia wakenya kuwa maandalizi yote yamekamilika kuelekea uchaguzi mkuu wa wiki ijayo.Akizungumza katika mahojiano na kituo hiki afisa msimamizi wa uchaguzi wa tume hiyo […]
-
TAHARUKI YAENDELEA KUTANDA OMBOLION MTU MMOJA AKIULIWA NA WAVAMIZI.
Hali ya taharuki imetanda katika eneo la ombolion, turkwel mpakani mwa kaunti za pokot magharibi na turkana baada ya kijana wa miaka 18 kuuliwa na wavamizi wanaoshukiwa kutoka kaunti jirani […]
-
RAIA WA ERITREA WATARAJIWA KUFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KAPENGURIA KWA KUPATIKANA NCHINI KINYUME CHA SHERIA.
Raia 41 kutoka Eritrea walionaswa jumanne eneo la Kanyarkwat eneo bunge la Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi wakiwa nchini bila stakabadhi za kuhalalalisha uwepo wao nchini wanataraji wa jumatano […]
-
LONYANGAPUO ASUTWA KWA KUKITHIRI UFISADI KWENYE SERIKALI YAKE.
Mwaniaji ugavana katika kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendeleza shutuma dhidi ya gavana wa sasa ambaye pia anatetea kiti hicho kupitia chama cha KUP John Lonyangapuo kwa madai ya […]
-
IEBC YAENDELEZA MAANDALIZI YA UCHAGUZI SIKU 6 TU KABLA UCHAGUZI WA AGOSTI 9.
Siku 6 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa tarehe 9 mwezi huu wa agosti, tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imeendelea kuweka mikakati ya awamu za lala salama […]
-
HOSPITALI YA RUFAA TRANS NZOIA YAFUNGULIWA RASMI.
Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia Patrick Khaemba amefungua rasmi hospitali kuu ya mafunzo na rufaa mjini Kitale, na kuanza kutoa huduma za afya na vipimo kwa magonjwa kama vile […]
-
RAIS ATAKIWA KUOMBA MSAMAHA KUFUATIA GHARAMA YA JUU YA MAISHA.
Kinara wa chama cha FORD Kenya Moses Wentangula amemtaka Rais Uhuru Kenyatta kuwaomba wakenya Msamaha kutokana na gharama ya juu ya maisha swala analosema limetokana na serikali kutotilia maanani maswala […]
-
HISIA KALI ZAENDELEA KUFUATIA UHABA WA UNGA WA BEI NAFUU.
Mwakilishi kina mama kaunti ya Trans nzoia Janet Nangabo amemtaka waziri wa kilimo Peter Munya kuingilia kati na kuhakikisha unga wa bei nafuu uliotangazwa na serikali unapatikana madukani ilikuhakikisha wakazi […]
Top News










