News
-
IDARA MBALIMBALI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YAKAMILISHA KIKAO CHA KWANZA CHA MAKADIRIO YA BAJETI.
Kikao cha Kamati ya makadirio ya bajeti ya kaunti ya Pokot Magharibi imewahusisha maafisa wa idara mbalimbali katika kaunti hii pamoja na wakazi wachache ilikamilika vyema katika ukumbi wa maonyesho […]
-
MWANAMKE AFARIKI BAADA YA KUPIGWA NA MUME WAKE FIMBO KICHWANI
Mwanamke mmoja katika eneo la Sun Flower hapa mjini Makutano kaunti ya Pokot Magharibi amethibitishwa kuiaga dunia baada ya kupigwa na mume wake kichwani mara kadhaa akitumia fimbo usiku wa […]
-
ZOEZI LA KUWATEUWA MAKURUTU WA KDF LAENDELEA KWA SIKU YA PILI KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Zoezi la kuwaajiri vijana katika Idara ya ulinzi nchini KDF imeendelea kwa siku ya pili hii leo katika kaunti hii ya Pokot Magharibi katika eneo la Chepareria.Hiyo jana zoezi hilo […]
-
SERKALI KUU PAMOJA MASHIRIKA MBALIMBALI YAENDELEZA VITA DHIDI YA UKEKETAJI NA KUWAOZA MABINTI MAPEMA ENEO LA ALALE
Hafla ya maadhimisho ya kimataifa ya kukomesha ukeketaji ambayo imefanyika katika eneo la Alale kwenye kaunti ya Pokot Magharibi imewahusisha raia wa taifa la Uganda na wa taifa hili la […]
-
SERKALI YA KITAIFA YAPIGA JEKI UJENZI WA SHULE ZA MIPAKANI
POKOT MAGHARIBI Serikali ya kitaifa ikishirikiana na serikali ya Kaunti ya Pokot Magharibi imeendelea kupiga jeki ujenzi wa shule za maeneo ya mipakani ikiwa ni njia mojawapo ya kudumisha amani […]
-
WENYEJI WA ENEO LA MOIBEN KAUNTI YA TRANS NZOIA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA SERIKALI BAADA YA SERIKALI KUTWAA ARDHI YENYE EKARI 150
Serikali kuu imefanikiwa kutwaa ardhi yenye ekari 150 katika eneo la Moiben Nzoia katika eneobunge la Cherangany kaunti ya Trans Nzoia iliyonyakuliwa zaidi ya miongo miwili iliyopita na familia ya […]
-
BWENI LA SHULE YA UPILI YA WAVULANA YA GOSETA IMETEKETEA
Shule ya upili ya wavulana ya Goseta kwenye kaunti ya Trans Nzoia imekuwa ya hivi punde kuteketea usiku wa kuamkia leo huku wazima moto kwa ushirikiano na wananchi wakifanikiwa kuuzima […]
-
WATU WANAOWAPACHIKA MIMBA WASICHANA WENYE AKILI TAHIRA WAONYWA KULE KAKAMEGA
Viongozi wa jamii ya watu wanaoishi na changamoto za ulemavu kaunti ndogo ya Navakholo kule Kakamega wametoa onyo kali kwa wanaumme walio na hulka ya kuwapachika wasichana wenye akili tahira […]
-
JAMII YA POKOT YAENDELEA KUELIMISHWA KUHUSIANA NA ATHARI ZA KUKEKETA NA KUOZA MABINTI MAPEMA
Shirika la World Vision limeendeleza shughuli ya kuihamasisha jamii dhidi ya ukeketaji na kuwaoza mabinti mapema katika kaunti ya Pokot Magharibi.Akizungumza katika hafla iliyoandaliwa katika eneo la Sook kwenye Eneobunge […]
-
MWANAMME AIAGA DUNIA BAADA YA KUDUNGWA KISU MARA KADHAA BAADA YA KUTOFAUTIANA NA MWENZAKE KWA SABABU YA SALAMU
Mwanamme mmoja mkaazi wa kijiji cha Kapkonga kwenye eneobunge la Keiyo Kusini katika kaunti ya Elgeyo Marakwet ameuliwa kwa kudungwa kisu mara kadhaa baada ya kutofatiana vikali na mwezake kuhusu […]
Top News