News
-
WAUZAJI WA VILEO KWENYE KAUNTI YA TRANS NZOIA WAMEPATA AFUENI YA SIKU 60 KUHUDUMU HUKU BUNGE LIKISAKA MWAFAKA WA UTOAJI LESENI.
Wauzaji wa vileo kwenye kaunti ya Trans Nzoia wamepata afueni baada ya bunge la kaunti kuwapa siku 60 ya kuhudumu ikisaka mwafaka wa utoaji leseni.Kulingana na spika wa bunge hilo […]
-
SENETA WA POKOT MAGHARIBI SAMUEL POGHISIO AMELAANI VIKALI UFYATULIANAJI WA RISASI ULIOFANYIKA MPAKANI PA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET
Seneta wa kaunti ya Pokot Magharibi Daktari Samuel Poghisio amewakashifu vikali wajambazi wanoainiminika kutoka katika jamii ya marakwet ambao waliwajeruhi watu wawili kwa kuwapiga risasi siku mbili zilizopita katika eneo […]
-
MBUNGE WA SOY CALEB COSITANY AMEAPA KUPINGA MSWADA WA KUREJESHA USHURU MWAKA UJAO
UASIN GISHU Mbunge wa Soi Caleb Kositany ameapa kupinga mswada wa kurejesha ushuru wa zamani iwapo mswada huo utawasilishwa katika Bunge la kitaifa kwenye kikao maalum kinachotarajiwa kuandaliwa wiki ujao.Akizungumza […]
-
SERIKALI YA KAUNTI YA UASIN GISHU IMEZINDUA AWAMU YA NNE YA MBIO ZA ELDORET MARATHON
Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago amezindua awamu ya nne yam bio za Eldoret Marathon mapema leo.Akizungumza na wanahabari mjini Eldoret, gavana Mandago amesma kuwa hatua hiyo ni […]
-
WATU WAWILI WANAENDELEA KUPOKEA MATIBABU KATIKA HOSPITALI YA KIMISHENI YA ORTUM BAADA YA KUFYATULIWA RISASI
POKOT MAGHARIBI Wasiwasi umewakumba wakazi wa Chepkokogh kwenye kaunti ya Pokot Magharibi baada ya watu wawili wa jamii ya Pokot kuvamiwa na kufyatuliwa risasi na watu wanaoaminika kutoka kaunti jirani […]
-
WENYEJI BUNGOMA WAHANGAKIA KUTAFUTA MATIBABU KUTOKANA NA MGOMO WA WAUGUZI AMBAO UMEINGIA SIKU YA NNE
Wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya Bungoma wamewachwa wakihangaika baada ya usimamizi wa hospitali hiyo kuamuru ifungwe na kuwataka wagonjwa kuondoka mara moja.Kwenye notisi iliyotolewa na usimamizi wagonjwa wote wametakiwa […]
-
MVULANA MWENYE UMRI WA MIAKA 15 ANYOFOLEWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI
POKOT MAGHARIBI Mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 15 katika kijiji cha Tamugh kwenye Eneobunge la Kapenguria anaendelea kuuguza jeraha baada ya sehemu yake ya siri kunyofolewa na ngariba mlevi.Kwa […]
-
BUNGE LA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUSHIRIKI KIKAO CHA DHARURA CHA KUJADILI BAJETI YA ZIADA YA MWAKA WA 2020/21
Bunge la kaunti ya Pokot Magharibi linatarajiwa kuandaa kikao spesheli cha dharura leo hii ili kuweza kujadili bajeti ya ziada ya kaunti hii ya mwaka wa 2020/2021Hata hivyo Kalya Radio […]
-
WAKENYA WAITAKA SERIKALI KUU NA ZILE ZA KAUNTI KUSITISHA SIASA ZA BBI NA KUSHUGHULIKIA WAHUDUMU WA AFYA
Wakenya wa tabaka mbalimbali wanazidi kutoa wito kwa serikali kuu na zile za Kaunti kushghulikia matakwa wa wahudumu wa afya ili waweze kurejea kazini na kusitisha mgomo wao ambao unaingia […]
-
GAVANA WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAHUDUMU WA AFYA HII LEO
Mkutano ulioratibiwa kufanyika hiyo jana wa Wahudumu Wa Afya kwenye kaunty hii ya Pokot Magharibi na haukufanyika unatarajiwa kurejelewa tena hii leo.Hiyo jana gavana wa kaunti hii ya Pokot Magharibi […]
Top News