News
-
WAKAAZI WA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI WASHAURIWA KUKUMBATIA UKULIMA WA MIMEA
Mshirikishi wa mradi wa kilimo Kenya Climate Smart Philip Ting’aa ameipongeza serikali ya gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi Pro John Lonyang’apuo kwa kukumbatia mradi huo ili kuhakikisha kuwa wakulima […]
-
SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUEKEZA KATIKA SEKTA YA VIWANDA
Gavana wa kaunti hii ya Pokot Magharibi John Lonyang’apuo amesema kuwa serikali yake inanuia kuwekeza pakubwa katika sekta ya viwanda.Akizungumza na wanahabari, Lonyang’apuo amesema kuwa mpango mzima wa kuafikia lengo […]
-
WAKAAZI WA MITAA YA MABANDA WAKOSA VYOO VYA UMMA
Uongozi wa kaunti ya Trans Nzoia umetakiwa kujenga vyoo vya umma katika mitaa ya mabanda ya Kipsongo na Matisi ili kuzuia hali ambapo baadhi yao huenda haja katika vichaka karibu […]
-
WATOTO WAKISIWA KULA NDIZI YENYE SUMU KAKAMEGA
Huzuni umetanda katika kijiji cha Imadala eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega baada ya mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 14 kufariki huku wengine wanne wa kati ya miaka […]
-
UJENZI WA CHUMBA CHA KUJIFUNGUA CHAZINDULIWA KIMILILI
Serikali ya kaunti ya Bungoma imezindua ujenzi wa chumba cha kujifungua kina mama katika zahanati ya Bituyu eneo bunge la Kimilili. Kulingana na afisa mkuu katika wizara ya afya kaunti […]
-
WAKAAZI WA ENEO LA KAKONG’ TURKANA KUSINI WALALAMIKIA MAKALI YA NJAA
Zaidi ya wakaazi alfu 12 ambao wanaishi eneo la Kakong Turkana kusini kaunti ya Turkana wanalalamikia makali ya njaa pamoja na ukosefu wa maji kutokana na hali ya ukame ambao […]
-
WAKULIMA WALALAMIKIA ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA
Hisia kali zimeendelea kutolewa nchini kufuatia tangazo la mamlaka ya kudhibiti bei ya mafuta na kawi nchini EPRA la kuongeza bei ya mafuta.Kulingana na wakulima katika kaunti ya Trans Nzoia […]
-
MTU MMOJA AFARIKI HUKU SITA WAKIJERUHIWA KATIKA AJALI YA KARAS KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Mtu mmoja amethibitishwa kuiaga dunia baada ya kuhusika kwenye ajali iliyohusisha pikipiki mbili jana usiku eneo la Karas kaunti hii ya Pokot Magharibi.Akithibitisha hayo daktari katika hospitali ya Kapenguria Jacob […]
-
HALI YAZIDI KUWA TETE KATIKA HOSPITALI YA KAPENGURIA
Serikali ya kaunti hii ya Pokot Magharibi imeendelea kushutumiwa kwa kuitelekeza hospitali ya Kapenguria.Seneta wa kaunti hii Samwel Poghisio amesema hospitali hiyo inakabiliwa na upungufu mkubwa wa vifaa muhimu vinavyopasa […]
-
WAKENYA WASHAURIWA KUZINGATIA MASHARTI YA KUZUIA MAAMBUKIZI ZAIDI YA VIRUSI VYA CORONA
Seneta wa kaunti hii ya Pokot Magharibi Dkt Samwel Poghisio amewataka wakazi wa kaunti hii kuendelea kuzingatia masharti yaliyowekwa na serikali kwa ushirikiano na wizara ya afya ili kukabili maambukizi […]
Top News