News
-
PUKOSE ATOA MATIBABU YA BURE YA UPASUAJI KWA WENYEJI WA ENDEBES
Mbunge wa Endebess DKT Robert Pukose aliadhimisha siku ya madaraka kwa kutoa huduma bure za afya kwa wenyeji wa eneo bunge lake ambao wamekuwa wakiteseka kwa muda mrefu kutokana na […]
-
WAZIRI MUNYA ATAKIWA KUSHUGHULIKIA MASLAHI YA WAKULIMA WA MIWA MAGHARIBI YA NCHI
Mbunge wa kanduyi kaunti ya Bungoma Wafula Wamunyinyi amemtaka waziri wa kilimo Peter Munya kubuni kamati maalum itakayoshughulikia masaibu ambayo wakulima katika kiwanda cha sukari cha Nzoia wanapitia.Wamunyinyi amesema kuwa […]
-
UONGOZI WA GAVANA LONYANGAPUO WAENDELEA KUKOSOLEWA
Seneta wa kaunti hii ya pokot magharibi samwel poghisio ameendelea kukosoa hulka ya kubadilishwa kila mara maafisa wa serikali ya kaunti hii na gavana john lonyangapuo.Akizungumza katika mahojiano ya kipekee […]
-
MWANAMMKE ALIYEFUNGA HARUSI NA ROHO MTAKATIFU KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI AANZA UTUMISHI RASMI
Mwanamke aliyefunga harusi na Roho Mtakatifu katika Kaunti ya Pokot Magharibi wiki iliyopita Elizabeth Nalem ameanza rasmi utumishi wake kwa Mungu huku akisema ameagizwa kuzunguka dunia nzima.Akizungumza na wanahabari katika […]
-
UAMUZI WA RAIS KUONGEZA KAFYU KWA SIKU 60 WAKASHIFIWA VIKALI
Baadhi ya wafanya biashara mjini Eldoret katika kaunti ya Uasin Gishu wamekosoa hatua ya serikali kuongeza mda wa kutekeleza marufuku ya kafyu kwa siku 60 zaidi kuanzia tarehe 28 mwezi […]
-
CHAMA CHA UDA CHAENDELEA KUPIGIWA UPATO POKOT MAGHARIBI
Viongozi mbali mbali wandani wa naibu Rais William Ruto katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wameendelea kupigia upato chama cha UDA kinachohusishwa na Ruto wakikitaja kuwa suluhu kwa changamoto zinazowakumba […]
-
WATOTO WA KIKE KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WASHAURIWA KUJITUNZA
Wito umetolewa kwa watoto wa kike kaunti hii ya Pokot Magharibi kujitunza na kutojihusisha na maswala ambayo yatawapelekea kupachikwa mimba za mapema na kuathiri masomo yao.Ni wito ambao umetolewa na […]
-
SERIKALI YA KAUNTI YA TRANS NZOIA YATARAJIWA KUSAMBAZA NETI KWA WAKAZI.
Serikali ya kaunti ya Trans nzoia kupitia wizara ya afya inaendeleza uhamasisho kwa wadau katika maandalizi ya zoezi la kutoa neti kwa wakazi katika juhudi za kupunguza maradhi ya malaria […]
-
WADAU WATAKIWA KUCHANGIA JUHUDI ZA KUHAKIKISHA NIDHAMU MIONGONI MWA WANAFUNZI.
Wadau mbali mbali katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kuchangia juhudi za kuhakikisha nidhamu inadumishwa miongoni mwa vijana hasa wanafunzi.Ni wito wake mwalimu mkuu wa shule ya upili ya wavulana […]
-
WAKAZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUZINGATIA UPANZI WA MITI.
Wito umetolewa kwa wakazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi kuzingatia zaidi upanzi wa miti ili kutunza mazingira mbali na manufaa mengine mengi ambayo yantokana na miti.Ni wito wake waziri […]
Top News