News
-
MRADI WA USAMBAZAJI WA MAJI WAZINDULIWA NAMUTOKHOLO KAUNTI YA BUNGOMA.
Wakazi wa eneo la Namutokholo eneo bunge la Sirisia kaunti ya Bungoma wamepata afueni baada ya serikali ya kaunti kuzindua mradi wa usambazaji maji eneo hilo mbalo limeshuhudia uhaba wa […]
-
JANGA LA CORONA LAATHIRI UTEKELEZWAJI WA MIRADI TRANS NZOIA.
Athari za janga la corona zimeathiri pakubwa utekelezaji wa miradi mbali mbali serikali kanda bonde la ufa.Akizungumza kwenye soko la Kolongolo katika kaunti ya Trans nzoia, mshirikishi wa utawala eneo […]
-
WAFUGAJI WA KUHAMAHAMA WATARAJIWA KUNUFAIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kwa ushirikiano na shirika moja la ujerumani la GIZ inanuia kutekeleza miradi kadhaa ya kuwanufaisha wakazi wa kaunti hasa wafugaji wa kuhamahama.Akizungumza baada ya […]
-
HATUA YA KUHARAMISHA MCHAKATO WA BBI YAZIDI KUKOSOLEWA.
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wamekosoa hatua ya majaji wa mahakama kuu kuharamisha mchakato wa kufanyia katiba marekebisho kupitia mpango wa upatanishi BBI.Wakiongozwa na mwakilishi wadi ya […]
-
WAZAZI WALAUMIWA KWA KUWATELEKEZA WANAO BUNGOMA.
Wazazi katika kaunti ya Bungoma wamelaumiwa kwa kufeli katika majukumu ya kuwatunza na kuwapa ushauri wanao jambo ambalo lilichangia idadi kubwa ya wanafunzi kuufanya mtihani wa kcse mwaka 2020 kaunti […]
-
WADAU WA USALAMA WATAKIWA KUIMARISHA VITA DHIDI YA MIMBA ZA MAPEMA TRANS NZOIA.
Zaidi ya wanafunzi alfu 1, 120 katika kaunti ya Trans nzoia wamepachikwa mimba tangu kuripotiwa nchini kisa cha kwanza cha virusi vya corona tarehe 15 mwezi machi mwaka jana.Haya ni […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA MWAKILISHI WADI YA KASEI.
Viongozi mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kutoa rambi rambi zao kufuatia kifo cha aliyekuwa mwakilishi wadi ya kasei kuanzia mwaka 2013 hadi mwaka 2017 Samson Long’arkaye.Wakiongozwa […]
-
WADAU WATAKIWA KUBORESHA MIUNDO MSINGI KATIKA SHULE ZA KAMKETO.
Wadau katika sekta ya elimu kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuisaidia shule ya upili ya wavulana ya Kamketo pamoja na ile ya wasichana hasa upande wa miundo msingi ili […]
-
MPANGO WA KUJENGWA KAMBI YA KDF ENEO LA TIATI WAENDELEA KUIBUA HISIA.
Viongozi eneo bunge la Tiati kaunti ya Baringo wanazidi kutoa kauli zao kuhusu pendekezo la serikali la kutaka kutengwa kipande cha ardhi eneo bunge hilo ili kuwezesha mpango wa kujengwa […]
-
SERIKALI YAAHIDI KUWEKA MIKAKATI YA KUWALINDA WAATHIRIWA WA DHULUMA ZA KIJINSIA.
Waathiriwa wengi wa dhuluma za jinsia hasa watoto wanakosa kuripoti visa hivyo kutokana na hofu ya kukabiliwa na washukiwa. Akizungumza mjini Kitale kaunti ya Trans nzoia, katibu mwandamizi katika wizara […]
Top News