News
-
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU KAKAMEGA AUWAWA.
Maafisa wa Polisi Wameanzisha Uchunguzi kuhusiana Mauaji ya Mwanafunzi wa mwaka wa Nne anayesomea taaluma ya uhandisi katika Chuo kikuu cha Masinde Muliro kaunti ya kakamega.Wakaazi wakiongozwa na Cornelius Chemwali […]
-
CHAMA CHA KUP CHA CHA POKOT MAGHARIBI CHA CHAPISHWA KWENYE GAZETI RASIMI
Chama Kipya Cha Kenya Union Party KUP ambacho kimeasisiwa na gavana wa Kaunti ya Pokot Magharibi Profesa John Lonyangapuo kimechapishwa rasmi katika Gazeti la Kitaifa.Akizungumza na kituo hiki, Naibu Mwenyekiti […]
-
VIJANA KAUNTI YA POKOT WAHIMIZWA KUJISAJILI KUWA WAPIGA KURA
Naibu wa Spika katika Bunge la Kaunti ya Pokot Magharibi Francis Krop ametoa wito kwa wakazi wa kaunti hii kujitokeza kwa wingi katika usajili wa wapiga kura ambao umefikia siku […]
-
VIONGOZI KAKAMEGA WAKASHIFU HOSPITALI YA BUTERE KWA UTEPETEVU
Viongozi wa kisiasa wakiwemo wawakilishi wadi kutoka eneobunge la Butere kauti ya KaKamega walitembelea hospitali ya Butere level 4 na kulaani kitendo ambacho mgonjwa alifariki na kusalia kwenye wadi kwa […]
-
WAKENYA WASHAURIWA KUJITOKEZA ILIKUJISAJILI KUWA WAPIGA KURA
Viongozi mbalimbali wanazidi kuwasihi wakenya kujitokeza ndani ya siku thelathini zilizotolewa kusajiliwa kuwa wapiga kura katika kaunti ya Uasingishu.Wanasiasa hao akiwemo Jackson Mandago ambaye ni gavana wanaendeleza wito huo.Wakizungumza na […]
-
SERIKALI YAHIMIZWA KUWAPA VIJANA VITAMBULISHO
Viongozi wa vyama tofauti vya kisiasa katika kaunti ya Kakamega wanaitaka serkali kupitia idara ya usajili wa watu kuhakikisha imeweka mikakati ya kuwapa watu Vitambulisho vya kitaifa ambayo imeripotiwa kurundika […]
-
MWANAMME MMOJA APATIKANA NA BASTOLA BILA RISASI LIKUYANI
Maafisa wa Polisi katika kaunti ndogo ya likuyani wanamzuilia mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka ishirini na minne baada ya kupatikana na bastola katika kijiji cha kongoni.Akidhibitisha kisa hiki kinara […]
-
VIONGOZI WATAKA MTAALA WA CBC KUANGAZIWA KWANZA POKOT MAGHARIBI
Itakuwa vigumu kwa mtaala mpya wa elimu CBC kutekelezwa kwa ufanisi katika kaunti hii ya Pokot magharibi iwapo changamoto zinazoambatana na utekelezwaji wa mtaala huo hazitashughulikiwa kabla ya kutekelezwa.Akizungumza na […]
-
VIJANA WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI ILIKUJISAJILI KAMA WAPIGA KURA TRANSNZOIA
Huku tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka nchini iebc ikianza zoezi la kuwasajili wa wapiga kura kote nchini hii leoMbunge wa kaunti ya transnzoia Bi Janet Nagambo amewarai […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUUNGA MKONO CHAMA CHA KANU.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ametoa wito kwa wakazi wa kaunti hii kuunga mkono kikamilifu chama cha KANU kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.Akizungumza baada ya […]
Top News










