News
-
VIJANA TRANS NZOIA WATAKA KUFANYIWA MAREKEBISHO SHERIA ZA UCHAGUZI.
Ipo haja ya wabunge kutathmini upya na kufanyia marekebisho sheria zinazo husiana na uchaguzi kufuatia tetesi zinazoibuliwa na wale wasioridhishwa na matokeo ya chaguzi hizo.Wakizungumza katika Gereza kuu la Kitale […]
-
WAKULIMA ELGEYO MARAKWET WAKADIRIA HASARA KUFUATIA UVAMIZI WA NDOVU.
Wakulima katika wadi ya Endough kaunti ya Elgeyo Marakwet wanakadiria hasara baada ya ndovu kuvamia mashamba yao na kuharibu mimea.Wakiongozwa na Nickson Chongwony, wakulima hao wamesema ndovu hao wamekuwa wakiwahangaisha […]
-
UHAMASISHO WATOLEWA KWA KINA MAMA KUHUSU UMUHIMU WA KUJIFUNGULIA HOSPITALINI.
Asilimia kubwa ya kina mama katika kaunti hii ya Pokot magharibi hawajakumbatia wazo la kujifungulia hospitalini.Haya ni kulingana na mkuu wa kitengo cha afya ya uzazi katika idara ya afya […]
-
WAZAZI WAONYWA DHIDI YA KUWANYIMA WANAO ELIMU.
Idara ya usalama kwa ushirikiano na ile ya elimu kaunti ndogo ya kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi imeanzisha mikakati ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wote waliofanya mtihani wa kitaifa […]
-
KAMISHINA WA BUNGOMA AONYWA DHIDI YA KUINGIZA SIASA KATIKA VITA DHIDI YA DHULUMU ZA JINSIA.
Kamishina wa kaunti ya Bungoma Samwel Kimiti ameonywa dhidi ya kutumia afisi ya kupambana na dhuluma dhidi ya wasichana wadogo kuendeleza ajenda za kisiasa kwa baadhi ya wanasiasa kaunti hiyo.Akizungumza […]
-
OKA YAJITETEA KUHUSIANA NA MADAI KUWA NI MUUNGANO WA KIKABILA.
Mshirikishi wa kitaifa wa muungano wa One Kenya Alliance Ferdinand Wanyonyi amekosoa vikali matamshi yaliyotolewa na naibu rais William Ruto kuwa muungano huo ni wa kikabila.Wanyonyi amesema kuwa malengo ya […]
-
VIONGOZI WASHINIKIZA KUPEWA MARUPURUPU YA KUSTAAFU WALIOKUWA MADIWANI NA WABUNGE WA ZAMANI.
Ipo haja ya waliokuwa madiwani pamoja na wabunge wa zamani kupewa marupurupu ya kustaafu.Haya ni kulingana na mbunge wa kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto ambaye amesema kuwa […]
-
MUKENYANG ATAJA JUHUDI ZA KUMBANDUA AFISINI KUWA ZILIZOCHOCHEWA KISIASA.
Spika wa bunge la kaunti hii ya pokot magharibi Catherine Mukenyang akitarajiwa kufika mbele ya kamati ya bunge hilo kujitetea baada ya kuanzishwa mchakato wa kumbandua afisini, amewalaumu pakubwa mahasimu […]
-
MBITO ATAKIWA KUOMBA MSAMAHA KUHUSU MATAMSHI YAKE DHIDI YA MFANYIBISHARA TRANS NZOIA.
Seneta wa kaunti ya Trans nzoia Michael Mbito ametakiwa kuomba msamaha kwa kumwita mfanyibiashara Nathaniel Tum mnyakuzi mkuu katika mzozo wa umiliki wa kipande cha ardhi cha ekari 10 baina […]
-
WAKULIMA WATAKIWA KUKUMBATIA MBUZI WA KISASA AINA YA GALA GOATS.
Wakulima katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kukumbatia mbuzi wa kisasa aina gala goats ili kuimarisha mazao yao.Akizungumza eneo la Nasukuta wakati wa kupeanwa mbuzi hao kwa makundi 27 […]
Top News