News
-
KANU YAWAONYA WANACHAMA WAKE DHIDI YA KUSHIRIKI MCHAKATO WA KUMBANDUA SPIKA WA BUNGE LA POKOT MAGHARIBI.
Chama cha KANU kimewaonywa wabunge wa bunge la kaunti hii ya pokot magharibi wanachama wa chama hicho dhidi ya kushiriki mchakato wa kumbandua afisini spika wa bunge la kaunti hii […]
-
WALIMU CHEPTULEL WAHOFIA USALAMA WAO.
Serikali imetakiwa kuimarisha usalama eneo la Cheptulel mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet iwapo inataka shughuli za masomo kuendelea eneo hilo ambako kulishuhudiwa […]
-
PUKOSE ASHUTUMIWA KWA KUDHALILISHA BARAZA LA WAZEE.
Mbunge wa Endebes kaunti ya Trans nzoia Robert Pukose ametakiwa kuomba msamaha kufuatia madai ya kulidhalilisha baraza la wazee wa jamii la sabaot katika kaunti hiyo wakati wa mkutano na […]
-
WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA MVUA INAYOSHUHUDIWA KUPANDA MIMEA YA CHAKULA.
Wito umetolewa kwa wakulima katika kaunti hii ya pokot magharibi kutumia mvua inayoshuhudiwa maeneo mbali mbali ya kaunti hii kuendeleza kilimo cha mimea mbali mbali hasa baada ya kuathirika mahindi […]
-
SERIKALI YALAUMIWA KWA UTOVU WA USALAMA UNAOSHUHUDIWA CHESOGON.
Waziri wa usalama wa ndani ya nchi Dkt Fred Matiangi ametakiwa kuhakikisha anatekeleza ahadi aliyotoa kwa wakazi wa eneo la chesogon mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti […]
-
VIONGOZI WAKASHIFU MAUAJI YA CHESOGON.
Viongozi kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kushutumu mauaji ya watu watatu wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi yaliyotekelezwa na washukiwa wa uhalifu eneo la Chesogon mpakani pa kaunti […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIWEZESHA KIFEDHA TUME YA TSC.
Serikali imetakiwa kuiwezesha kifedha tume ya huduma za walimu TSC ili kuwaajiri walimu zaidi kuendena na mpango wa kufanikisha wanafunzi wote ambao wanafanya mtihani wa KCPE kujiunga na shule za […]
-
VISA VYA WAKAZI KUUMWA NA NYOKA VYAKITHIRI LOMUT.
Wakazi wa eneo la Lomut katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia ongezeko la visa vya wakazi kuumwa na nyoka eneo hilo.Wakiongozwa na aliyekuwa diwani wa Lomut Musa Tekelezi wakazi […]
-
USHURU UNAOLIPWA NA WAHUDUMU WA BODA BODA POKOT MAGHARIBI KUPUNGUZWA KUANZIA SEPTEMBA MOSI.
Agizo la gavana wa kaunti hii ya pokot magharibi John Lonyangapuo kupunguzwa ushuru wanaotozwa wahudumu wa boda boda kutoka shilingi 300 hadi 200 kila mwezi litaanza kutekelezwa kuanzia tarehe moja […]
-
VIONGOZI WA DINI WATAKIWA KUSHIRIKI JUHUDI ZA KUAFIKIWA AMANI CHESOGON.
Viongozi wa dini katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuchangia katika juhudi za kuleta amani eneo la Chesogon mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya […]
Top News