News
-
WALIOPATA DOZI YA KWANZA YA CORONA BUNGOMA WATAKIWA KUJITOKEZA KUPOKEA DOZI YA PILI.
Wakazi katika kaunti ya Bungoma ambao walipokea dozi ya kwanza ya chanjo dhidi ya virusi vya corona wametakiwa kujitokeza na kupokea dozi ya pili.Waziri wa afya katika kaunti hiyo Anthony […]
-
MUKENYANG ABANDULIWA KAMA SPIKA WA BUNGE LA POKOT MAGHARIBI
Spika wa bunge la kaunti ya Pokot magharibi Catherine Mukenyang hatimaye ameondolewa afisini. Hii ni baada ya idadi kubwa ya wabunge katika bunge hilo kuunga mkono hoja ya kumwondoa afisini […]
-
LONYANGAPUO ATAKA SEKTA YA ELIMU KUGHATULIWA KIKAMILIFU.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amelalamikia pakubwa sehemu kubwa ya sekta ya elimu kusimamiwa na serikali kuu huku serikali za kaunti zikiachiwa kusimia elimu ya chekechea.Akizungumza […]
-
HATIMA YA SPIKA MUKENYANG KUBAINIKA LEO HUKU VIONGOZI WAKIENDELEA KUSHUTUMU HOJA YA KUBANDULIWA KWAKE.
Bunge la kaunti ya Pokot magharibi linapotarajiwa leo kujadili hoja ya kumbandua spika wa bunge hilo Catherine Mukenyang, baadhi ya viongozi kaunti hii wameendelea kukashifu hatua hiyo wanayodai imechochewa kisiasa.Wa […]
-
‘MKONO WA MUNGU NDIO UTAMWOKOA MUKENYANG’ ASEMA ARAULE
Itahitaji muujiza kwa spika wa bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi Catherine Mukenyang kuokoka kutokana na hoja ya kubanduliwa afisini inayotarajiwa kujadiliwa hii leo na bunge la kaunti hii.Haya […]
-
WAFANYIKAZI TRANS NZOIA WATISHIA KUGOMA KULALAMIKIA KUCHELEWESHWA MSHAHARA.
Mwenyekiti wa muungano wa wafanyakazi wa serikali ya Kaunti ya Trans Nzoia Samuel Juma Kiboi ametoa makataa ya siku tatu kwa serikali ya Kaunti hiyo kuwalipa mishahara yao ya miezi […]
-
VIONGOZI TRANS NZOIA WAONYWA DHIDI YA KUENDELEZA SIASA MAZISHINI.
Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kukoma kupeleka maswala ya kisiasa katika hafla za mazishi.Ni wito wake mshirikishi wa usalama eneo la bonde la ufa George Natembeya […]
-
KUBADILISHWA ULINZI WA NAIBU RAIS KWAZIDI KUIBUA HISIA NCHINI.
Mjadala kuhusu kubadilishwa vitengo vya ulinzi wa naibu rais William Ruto umeendelea kushuhudiwa nchini wandani wa Ruto wakiendelea kukashifu hatua hiyo wanayotaja kuwa inayolenga kuhujumu utendakazi wa afisi ya naibu […]
-
CHANJO ZAIDI DHIDI YA CORONA ZATARAJIWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI MWEZI HUU WA SEPTEMBA.
Kaunti ya Pokot magharibi inatarajiwa kupokea chanjo mpya dhidi ya virusi vya corona za Pfizer, moderna na Johson and Johnson kando na ile ya astrazeneca ambayo imekuwa ikitumika ili kuendeleza […]
-
POGHISIO AKASHIFU MPANGO WA KUMBADUA AFISINI SPIKA MKENYANG.
Seneta wa kaunti hii ya pokot magharibi samwel poghisio ameshutumu juhudi ambazo zinaendelezwa na wabunge wa bunge la kaunti hii ya pokot magharibi kumwondoa mamlakani spika Catherine Mukenyang.Akizungumza na kituo […]
Top News