News
-
POLISI WALAUMIWA KWA KUWAKAMATA KIHOLELA WAKAZI MAKUTANO.polisi
Wakazi mjini makutano kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia kile wamedai kukamatwa kiholela na maafisa wa polisi kwa madai ya kutekeleza kanuni za kukabili msambao wa virusi vya corona.Wakizungumza […]
-
KAUNTI ZA BONDE LA KERIO ZATAKIWA KUKUMBATIA AMANI.
Gavana wa Baringo Starnely Kiptis amewashauri wakaazi wa maeneo ya bonde la kerio na kaunti nyingine ambazo zinashuhudiwa wizi wa mifugo kusitisha uhasama na kuishi kwa amani.Kiptis amesema kwamba mashambulizi […]
-
UTENDAKAZI WA EUGENE WAMALWA WATETEWA NA VIONGOZI TRANS NZOIA.
Viongozi mbambali kutoka Kaunti ya Trans-Nzoia wamejitokeza na kutetea utendaji kati wa waziri wa Ugatuzi Eugine Wamalwa kufuatia shutuma kutoka kwa wabunge Dkt Chris Wamalwa na Robert Pukose wakisema amewatekelezea […]
-
MASHIRIKA MBALI MBALI YAPIGA JEKI JUHUDI ZA KUIMARISHA ELIMU YA MTOTO WA KIKE POKOT MAGHARIBI.
Zaidi ya wanafunzi 300 kutoka shule mbali mbali kaunti hii ya Pokot magharibi wamenufaika na vitambaa vya hedhi kwa wanafunzi wa kike pamoja na mavazi ya ndani kwa wanafunzi wa […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAIMARISHA JUHUDI ZA KUKABILI MALARIA.
Serikali ya kaunti hii ya pokot magharibi kupitia wizara ya afya inatarajiwa kusambaza neti kwa wakazi ambao walijisajili katika juhudi za kukabali kusambaa ugonjwa wa malaria hasa msimu huu wa […]
-
MIITO YA KUPATANA RAIS KENYATTA NA NAIBU WAKE YAZIDI KUTOLEWA.
Tangazo la baraza la maaskofu kwamba liko tayari kuwapatanisha rais uhuru kenyata na naibu wake Wiliam Ruto limetajwa kuwa lenye umuhimu mkubwa katika kuleta umoja amani na utangamano wa taifa.Mshirikishi […]
-
WAKAZI WA SALAMA ENDEBES WAPOKEZWA HATI MILIKI.
Zaidi ya wanachama mia tatu kutoka shamba la salama eneo bunge la Endebes kaunti ya Trans nzoia wamepata hati miliki ya ardhi kupitia kwa serikali kuu kwenye shamba la ekari […]
-
SERIKALI YA TRANS NZOIA YAWEKA MIKAKATI YA KUKABILI MABADILIKO YA TABIA NCHI.
Wizara ya maji mazingira na mali asili katika kaunti ya Trans Nzoia imetenga bajeti ya shilingi Milioni 20 kwa upanzi wa miti na utunzaji wa mazingira kama njia moja ya […]
-
WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUKUMBATIA MTAALA WA CBC.
Wadau wa elimu katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kuwahimiza wananchi kukumbatia mtaala mpya wa elimu CBC ambao wameutaja kuwa na manufaa makubwa kwani unaangazia maswala mengi na yenye […]
-
BAADHI YA VIONGOZI TRANS NZOIA WAPUUZA MIITO YA KUPATANISHWA RAIS NA NAIBU WAKE.
Hisia mseto zimeendelea kuibuka nchini kufuatia tangazo la baraza la maaskofu wa kanisa katoliki kuwa lipo tayari kuwaunganisha rais Uhuru kenyatta na naibu wake William Ruto.Wa hivi punde kuzungumzia swala […]
Top News