News
-
WANASIASA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUFANIKISHA MAENDELEO.
Aliyekuwa mwakilishi wadi maalum Lucy Lotee ameshutumu pakubwa malumbano ambayo yanashuhudiwa miongoni mwa wabunge katika kaunti hii kuhusiana na miradi mbali mbali ikiwemo ujenzi wa barabara.Akizungumza na kituo hiki bi […]
-
WAKULIMA TRANS NZOIA WAPUUZILIA MBALI BEI MPYA YA MAHINDI.
Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Trans nzoia wamepuuzili mbali bei mpya ya mahindi ambayo ilitangazwa na waziri wa kilimo Peter Munya wakisema kuwa ni ya chini mno […]
-
MAKUNDI YA KINA MAMA TRANS NZOIA YALALAMIKIA UGUMU WA KUPATA MIKOPO.
Makundi ya akina mama eneo la cherang’ani katika kaunti ya Trans nzoia yamelalamikia ugumu wa kupata mikopo hali wanayodai kuwa imesababishwa na kuwepo masharti mengi kabla ya kupata mikopo hiyo.Wakiongozwa […]
-
MBUNGE WA POKOT KUSINI ASHUTUMIWA KWA KUJIPIGIA KIFUA MIRADI YA SERIKALI.
Baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kumkosoa mbunge wa Pokot kusini David Pkosing kufuatia madai yake kuwa baadhi ya miradi ya ujenzi wa barabara katika kaunti […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUUNGA MKONO VYAMA VYA KISIASA VITAKAVYOWANUFAISHA.
Mwanasiasa yeyote ana uhuru na haki ya kuanzisha chama cha kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kwa mujibu wa mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto ambaye hata hivyo amesema […]
-
IDADI YA VYOO KASEI YATAJWA KUWA YA CHINI MNO.
Idadi kubwa ya jamii katika eneo la Kasei kaunti hii ya Pokot magharibi hazina vyoo.Haya ni kulingana na afisa wa afya ya umma eneo hilo Richard Chepkwony ambaye amesema kuwa […]
-
KAMPUNI YA NEW KCC YAAHIDI KUIMARISHA ZAIDI MKULIMA WA NG’OMBE WA MAZIWA.
Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya New KCC Nixon Sigey amesema shirika hilo la maziwa nchini kwa ushirikiano na wizara ya kilimo limeweka mikakati kuhakikisha kuwa mkulima wa maziwa anapata bei […]
-
MVULANA MMOJA MLEMAVU ANAUGUZA MAJERAHA MABAYA KATIKA HOSPITALI YA KAPENGURIA BAADA YA KUPIGWA RISASI KWENYE MAPAJA .
NA BENSON ASWANIMvulana mmoja wa miaka kumi na tisa ambaye ni Mlemavu kutoka lokesheni ya Chesogon kaunti ya Pokot Magharibi anauguza majeraha mabaya ya hospitali kuu ya rufaa ya kapenguria […]
-
VIONGOZI MBALIMBALI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WANAZIDI KUTOA WITO WA ADHABU YA VIBOKO KUREJESHWA SHULENI.
NA BENSON ASWANIWadau mbali mbali katika sekta ya elimu nchini wameendelea kuunga mkono pendekezo la kurejeshwa adhabu ya kiboko shuleni.Wa hivi punde kuzungumzia swala hilo ni mbunge wa Kapenguria katika […]
-
WENYEJI WA AKIRIAMET ENEOBUNGE LA SIGOR WAPATA AFUENI BAADA YA KUTENGENEZEWA DARAJA LINALOUNGANISHA KAUNTI YA TURKANA NA POKOT MAGHARIBI.
NA BENSON ASWANIUkarabati wa Daraja la Akiriamet eneo Bunge la Sigor litasaidia pakubwa kuleta maendeleo kwa wenyeji ambao wamehangaika kwa muda wanapotaka kusafiriAkizungumza baada ya kufunguliwa rasmi kwa Daraja hilo […]
Top News










