News
-
VIONGOZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WASIKITISHWA NA HATUA YA KUFUNGWA KWA CHUO CHA KISII ENEO LA KERINGET POKOT
Aliyekuwa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameelezea kusikitishwa na hatua ya kufungwa kwa chuo kikuu cha kisii bewa la Keringet katika kaunti hii.Akizungumza na kituo hiki […]
-
WALIMU NA WANAFUNZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAHAKIKISHIWA USALAMA WAO MSIMU HUU WA MITIHANI YA KITAIFA
Tatizo la usalama ambalo limekuwa likishuhudiwa katika mipaka ya kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani za Baringo, Elgeyo marakwet na Turkana litapata tu suluhu kupitia elimu.Akizungumza wakati wa […]
-
VIONGOZI WAHIMIZWA KUINGILIA KATI NA KUHAKIKISHA UKOSEFU WA MADAWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI UNATATULIWA.
Wito umetolewa kwa idara ya afya kaunti hii ya Pokot magharibi kuhakikisha kuwa dawa za kutosha zinapatikana katika zahanati ya Otiot wadi ya Lomut ili kuwaepusha wakazi na changamoto ya […]
-
MAJAMBAZI WAWAJEUHI MAAFISA WA POLISI NA MENEJA WA BENKI YA COOPERATIVE MJINI KIMILILI KAUNTI YA TRANSNZOIA NA KUTOWEKA NA MILIONI 25.
Maafisa wa polisi wawili ambao walikuwa wakisafirisha fedha za wakulima wa kahawa kutoka benki ya cooperative mjini Bungoma hadi chama cha ushirika cha Kimilili mjini, pamoja na meneja wa chama […]
-
SERIKALI YAOMBWA KUINGILIA KATI NA KUREJESHA NGUVU ZA UMEME ENEO LA CHEMELEI KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI
Wakazi wa eneo la chemelei kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia ukosefu wa umeme eneo hilo hali wanayosema kuwa imewapelekea kukwama shughuli zao nyingi.Changamoto ya nguvu za umeme katika eneo […]
-
WALIMU WAKUU WAMEONYWA DHIDI YA KUJIHUSISHA NA MASWALA YA WIZI MITIHANI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Maandalizi yote kwa ajili ya mitihani ya kitaifa mwaka huu kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la nane KCPE na wale wa kidato cha nne KCSE ambayo inaanza mwezi huu […]
-
VIONGOZI MBALIMBALI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WANAZIDI KUMLAUMU RAIS UHURU KENYATA
Hatua ya rais Uhuru kenyatta kutangaza wazi kumuunga mkono kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwezi agosti imeendelea kuibua hisia miongoni mwa viongozi […]
-
USAFIRI ENEO LA CHEPKOKOGH ENEO BUNGE LA SIGOR UNAZIDI KUIMARISHWA NA SHIRIKA MOJA LISILOKUWA LA SERIKALI
Shirika moja liso la serikali la UNDP linaendeleza ujenzi wa miundo msingi ikiwemo barabara eneo la chepkokogh katika kaunti hii ya Pokot magharibi, baadhi ya watawala wa eneo hilo wakipongeza […]
-
SERIKALI YAOMBWA KUINGILIA KATI NA KUTATUA SUALA LA UKOSEFU WA USALAMA ENEO LA TUWAN KAUNTI YA TRANSNZOIA
Kufuatia kukithiri visa vya watu kubakwa na kushambuliwa kwa panga na wizi kutekelezwa katika mitaa ya mabanda ya Tuwan na Mitume kaunti ya Trans nzoia, kiranja wa wengi katika bunge […]
-
WAKAAZI WA ENEO LA AMUDAT WATAKIWA KUWA WATULIVU NA KUENDELEZA SHUGHULI ZAO ZA KAWAIDA
Wakazi wa jamii ya Pokot wanaoishi katika wilaya ya Amudat mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda wametakiwa kuwa watulivu na kuendeleza shughuli zao za […]
Top News










