News
-
WAKUU WA USALAMA WALAUMIWA KUTOKANA NA UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Mbunge wa Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amelaumu kile amedai kuwa utepetevu miongoni mwa maafisa wa usalama kufuatia ongezeko la utovu wa usalama katika bonde la […]
-
WAKAZI WA BONDE LA KERIO WALALAMIKIA BAA LA NJAA.
Wakaazi wa maeneo ya bonde la kerio sasa wanaiomba serikali na mashirika mengine kuwasambazia chakula cha msaada ili kuwanusuru na baa la njaa linalowakumba.Wakiongozwa na Timothy Kemboi wakazi hao wanasema […]
-
ASILIMIA KUBWA YA WAKAZI TRANS NZOIA WAKABILIWA NA UHABA WA MAJI LICHA YA KUWEPO VYANZO VYA MAJI.
Imebainika kwamba asilimia 50 ya wakazi wa kaunti ya Trans nzoia hawajasambaziwa maji licha ya kuwa na vianzo viwili vya maji vikiwamo vya mlima Elgon na kile cha Cherangany.Waziri wa […]
-
EACC YASHINIKIZWA KUHARAKISHA UCHUNGUZI WA MATUMIZI YA FEDHA POKOT MAGHARIBI.
Aliyekuwa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendelea kuwahimiza wakazi wa kaunti hii kumuunga mkono kuwania tena kiti hicho katika uchaguzi mkuu ujao ili kukamilisha miradi ya […]
-
UTULIVU WAREJEA KOITILIAL, ELGEYO MARAKWET.
Utulivu umeanza kurejea kwenye eneo la koitilial kaunti ya Elgeyo marakwet baada ya watu wawili kuuliwa kwa kupigwa risasi na wavamizi huku wengine 7 wakijeruhiwa vibaya.Kulingana na mshirikishi wa eneo […]
-
‘LONYANGAPUO HANA UMAARUFU TENA POKOT MAGHARIBI’, ASEMA ATUDONYANG.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo alipoteza umaarufu wake wa kisiasa katika kaunti hii baada yake kujiondoa katika chama cha KANU na kubuni chama cha KUP kinachotajwa […]
-
UTOVU WA USALAMA WAENDELEA KUSHUHUDIWA MARAKWET MAGHARIBI.
Viongozi katika kaunti ya elgeyo marakwet wameshutumu mauaji ya watu wawili yaliyotekelezwa na wezi wa mifugo katika eneo la koitilial, eneo bunge la marakwet magharibi hapo jana.Wakiongozwa na naibu gavana […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUKOMESHA UVAMIZI WA MARA KWA MARA BARINGO KASKAZINI NA KUSINI.
Serikali kuu kupitia asasi zake mbali mbali imetakiwa kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini kiini cha mashambulizi ya mara kwa mara kwenye eneo bunge la Baringo kaskazini na kusini katika […]
-
MGOMBEA KITI CHA UBUNGE KAPENGURIA LUCY LOTEE AAGA DUNIA.
Jamii ya aliyekuwa mwakilishi wadi maalum Lucy Lotee inaendelea kuomboleza kifo chake baada yake kuaga dunia hiyo jana katika hospitali ya Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi.Kulingana na mwanawe Allan […]
-
WASHUKIWA WA UVAMIZI WASHAMBULIA MATATU NA KUWAJERUHI WATU WATATU MJINI LODWAR.
Wasafiri wanaotumia barabara kuu ya kutoka lodwar kuelekea kitale wamejawa hofu na kusitishwa kwa usafiri baada ya matatu moja iliyokuwa ikitoka lodwar kuelekeamjini Kitale kaunti ya Trans nzoia kushambuliwa kwa […]
Top News










