News
-
SERIKALI YATAKIWA KUKOMESHA UVAMIZI WA MARA KWA MARA BARINGO KASKAZINI NA KUSINI.
Serikali kuu kupitia asasi zake mbali mbali imetakiwa kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini kiini cha mashambulizi ya mara kwa mara kwenye eneo bunge la Baringo kaskazini na kusini katika […]
-
MGOMBEA KITI CHA UBUNGE KAPENGURIA LUCY LOTEE AAGA DUNIA.
Jamii ya aliyekuwa mwakilishi wadi maalum Lucy Lotee inaendelea kuomboleza kifo chake baada yake kuaga dunia hiyo jana katika hospitali ya Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi.Kulingana na mwanawe Allan […]
-
WASHUKIWA WA UVAMIZI WASHAMBULIA MATATU NA KUWAJERUHI WATU WATATU MJINI LODWAR.
Wasafiri wanaotumia barabara kuu ya kutoka lodwar kuelekea kitale wamejawa hofu na kusitishwa kwa usafiri baada ya matatu moja iliyokuwa ikitoka lodwar kuelekeamjini Kitale kaunti ya Trans nzoia kushambuliwa kwa […]
-
WENYEJI WA LESOS TRANS NZOIA WALALAMIKIA UKOSEFU WA MAJI MIEZI MIWILI SASA.
Wenyeji wa Lesos wadi ya bidii viungani mwa mjini Kitale katika kaunti ya Trans nzoia wanalalamikia ukosefu wa maji safi kwa takriban miezi miwili sasa baada ya mwanakandarasi anayekarabati barabra […]
-
GAVANA LONYANGAPUO AWAHIMIZA WANASIASA KUKOMA KUINGIZA SIASA KATIKA MASWALA YA AFYA
Gavana wa kaunti ya pokot magharibi john lonyangapuo ameongoza zoezi la uzinduzi wa dawa zitakazotumiwa katika vituo vyote vya afya kwenye kaunti hiiKatika mazungumzo ya kipekee na idhaa hii gavana […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAMEHIMIZWA KUDUMISHA AMANI MSIMU HUU WANAPOENDELEZA SIASA ZAO
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kutoa wito kwa wakazi kuzingatia amani na utulivu hasa wakati huu ambapo siasa za uchaguzi mkuu ujao zimezidi kushika kasi.Wa hivi punde […]
-
MAAFISA WA POLISI WA KITUO CHA MARICH KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WANAWASAKA WANAUMME KUMI WALIOHUSIKA KWA KUMLAZIMISHIA MSICHANA MMOJA NDOA YA MAPEMA.
Maafisa wa polisi katika eneo la sigor kaunti hii ya pokot magharibi wanawatafta wanaumme kumi wanaosemekana kumdhulumu msichana mwenye umri wa miaka kumi na miwili aliyekataa kuolewa na mtu mzee […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUENDELEZA KAMPEINI ZA AMANI
Viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuendeleza kampeni zao kwa heshima hasa wakati huu taifa linapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi agosti mwaka huu.Ni wito wake […]
-
WANAFUNZI MMOJA AMENASWA AKIUFANYA MTIHANI WA KITAIFA WA KCSE AKIJIFANYA KUWA MTAHINIWA KWA NIABA YA NDUGUYE
Mtihani wa kidato cha nne ksce unaendelea leo hii kwa siku ya tatu baada ya kuanza rasimi jumatatu hii huku waziri wa elimu proff George magoha akiwaagiza wasimamizi wa mitihani […]
-
VIONGOZI WA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI WAMEHIMIZWA KUKOMA KUINGILIA MASWALA YA HOSPITALI
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amevunja kimya chake kufuatia shutuma ambazo zimeendelea kuelekezwa kwa serikali yake kutokana na hali inayotajwa kuwa mbaya katika hospitali ya Kapenguria.Akizungumza […]
Top News










