News
-
MIRADI YA MAENDELEO POKOT MAGHARIBI YATARAJIWA KUKAMILIKA KABLA YA AGOSTI 9.
Serikali ya kitaifa iko mbioni kukamilisha miradi iliyoanzishwa katika kaunti mbali mbali nchini kabla ya kukamilika muhula wa pili wa kuhudumu rais Uhuru Kenyatta ambaye anatarajiwa kustaafu tarehe 9 mwezi […]
-
MUNYA AZURU TRANS NZOIA KUZINDUA UUZAJI WA MBOLEA YA BEI NAFUU.
Waziri wa kilimo Peter Munya anazuru leo kaunti ya Trans nzoia kuzindua uuzaji wa mbolea ya bei nafuu siku chache tu baada ya kuitikia wito wa wakulima na kupunguza bei […]
-
KIWANDA CHA KUCHINJA NGOMBE CHA NASUKUTA CHA ZINDULIWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Uzinduzi wa kichinjio cha Nasukuta katika kaunti hii ya Pokot magharibi ni moja ya ajenda kuu za serikali ya jubilee ikiwa ni pamoja na utoshelezaji wa chakula hasa katika sekta […]
-
WENYEJI WA KAUNTI YA TRANSNZOIA WATOA HISIA ZAO KUFUATIA UAMUZI WA MAHAKAMA KUTUPILIA MBALI BBI
Muda mfupi tu baada ya mahakama ya upeo kutoa uamuzi wake kuhusiana na kesi ya mswada wa marekebisho ya katiba kupitia kwa mchakato wa BBI viongozi mbali mbali Kaunti ya […]
-
MOROTO APATA AFUENI BAADA YA KUTUPILIWA MBALI KESI INAYOHUSU SHAMBA LA ADC.
Mbunge wa Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amepata afueni baada ya kukamilika kesi iliyokuwa ikimwandama katika mahakama ya Kitale iliyokuwa ikihusu shamba la ustawishaji wa kilimo ADC.Akizungumza […]
-
WAZAZI POKOT MAGHARIBI WATAKA KUANGAZIWA MATUMZI YA FEDHA ZA BASARI.
Wazazi wa wanafunzi waliofanya mtihani wa kitaifa wa KCPE kaunti ya pokot magharibi sasa wanaiomba serikali kuu na ile ya kaunti kuangazia wanafunzi wanaotoka katika jamii sisizojiweza wakati wa kutoa […]
-
WATU WATATU WAUA BARINGO KUSINI NA WAVAMIZI.
Wakazi wa eneo la Tandar Lamaiywe wadi ya Mochongoi Baringo kusini katika kaunti ya Baringo wanagali wanaishi kwa hofu kufuatia shambulizi lililotokea jana ambapo watu watatu wanahofia kufariki huku wengine […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUTOTUMIA FEDHA ZA BASARI KABLA YA WATAHINIWA WA KCPE MWAKA 2021 KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA.
Wito umetolewa kwa viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi kutopeana pesa za busary ila waziweke hadi wanafunzi watakapojiunga na kidato cha kwanza.Akipongeza matokeo bora ambayo yamerekodiwa miongoni mwa shule […]
-
WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUTOHADAIWA NA MFUMO WA BOTTOM UP.
Kamishina wa kaunti hii ya Pokot magharibi Apolo Okelo amepuuzilia mbali mfumo wa kiuchumi wa naibu rais Willia Ruto wa Bottom up economic model.Apolo amewataka wananchi kutohadaiwa na baadhi ya […]
-
JOHN MENGWA AJIONDOA KWENYE KINYANG’ANYIRO CHA UBUNGE SABOTI TRANS NZOIA.
Mgombea kiti cha eneo bunge la Saboti kwa tiketi ya chama cha UDA John Meng’wa amejiondoa kwenye kinyanganyiro hicho.Akihutubu kwenye hafla iliyo waleta pamoja viongozi wa jamii na wazee ya […]
Top News










