News
-
MWAKILISHI WADI YA LELAN POKOT MAGHARIBI AENDELEA KUOMBOLEZWA.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wameendelea kumwomboleza mwakilishi wadi ya Lelan Johnson Lokato.Wa hivi punde kumwomboleza Lokato ni mgombea kiti cha ubunge eneo la Pokot kusini James Teko […]
-
IEBC YATAKIWA KUTOA ELIMU YA UMMA KUHUSU VITUO VIPYA VYA KUPIGIA KURA.
Tume ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC imetakiwa kutoa elimu kwa umma kuhusiana na hatua ya tume hiyo kutaka kuongeza idadi ya vituo vya kupigia kura nchini.Ni wito wake […]
-
MACHIFU WALAUMIWA KWA KUKITHIRI UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Mshirikishi wa usalama eneo la bonde la ufa maalim Mohammed amewalaumu maafisa wa usalama maeneo ya mashinani katika kaunti zinazopatikana bonde la kerio kufuatia kukithiri utovu wa usalama ambao unasababishwa […]
-
GHARAMA YA MAISHA YAATHIRI ZOEZI LA KUWASAJILI WANAFUNZI KATIKA KIDATO CHA KWANZA.
Gharama ya juu ya maisha imepelekea kusita zaidi zoezi la kuwasajili wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza.Haya ni kwa mujibu wa baadhi ya wakuu wa shule katika kaunti hii ya […]
-
WAHISANI WATAKIWA KUWASAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA UFADHILI WA ELIMU SCHOLARSHIP BARINGO.
Wahisani mbalimbali katika kaunti ya baringo wameshauriwa kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha watahiniwa zaidi ya 700 ambao hawakupata fursa ya kujiunga na shule za upili kupitia mradi wa elimu scholarship […]
-
UTOVU WA USALAMA WAENDELEA KUSHUHUDIWA MIPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kushutumu uvamizi ambao unaendelea kushuhudiwa mipakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet.Wakiongozwa na seneta wa kaunti […]
-
SERIKALI YA GAVANA LONYANGAPUO YALAUMIWA KUFUATIA KIFO CHA MWAKILISHI WADI YA LELAN.
Mbunge wa Kapenguria kaunti hii ya Pokot Magharibi Samwel Moroto amelaumu utepetevu wa serikali ya gavana John Lonyangapuo kufuatia kifo cha mwakilishi wadi ya Lelan Johnson Lokato.Akizungumza na kituo hiki […]
-
UTEUZI WA KARUA KUWA MGOMBEA MWENZA WA RAILA WAENDELEA KUPONGEZWA.
Baada ya mgombea wa urais katika muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga kumuteua Martha Karua kuwa mgombea mwenza, sherehe zilisheheni katika mji wa Kitale kina Mama wakisifia hatua ya […]
-
MTU MMOJA AULIWA KUFUATIA UVAMIZI TILAKAI POKOT MAGHARIBI.
Mtu mmoja ameuliwa huku wengine watatu wakiuguza majeraha mabaya baada ya shambulizi lililotokea katika vijiji vya Tilakai, Chepkokogh na Cheratak kwenye Wadi ya Lomut Pokot Magharibi.Uvamizi huo umetekelezwa na majambazi […]
-
POGHISIO APUUZA MADAI YA KUWEPO MPANGO WA KUMUUNGA MGOMBA MMOJA WA UGAVANA POKOT MAGHARIBI CHINI YA AZIMIO.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amepuuzilia mbali madai kuwa kaunti hii imetengewa mgombea mmoja chini ya muungano wa azimio la umoja one Kenya kwa wadhifa wa […]
Top News









