News
-
MASKWOTA WA CHEPCHOINA WATISHIA KUISHITAKI SERIKALI ICC.
Maskwota waliofurushwa kwenye ardhi yenye utata ya chepchoina mpakani pa kaunti hii ya Pokot Magharibi na kaunti jirani ya Trans nzoia wametishia kuishtaki serikali kwenye mahakama ya jinai mjini the […]
-
MIITO YA AMANI YAENDELEA KUTOLEWA TAIFA LIKIELEKEA KWENYE UCHAGUZI MKUU.
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi kudumisha amani na kutokubali kutumika vibaya na wanasiasa kuvuruga amani kwa manufaa yao ya binafsi hasa wakati huu ambapo taifa […]
-
KFS YAWAHAMISHA MAAFISA WAKE WOTE BAADA YA MAUAJI YA WATU WAWILI ELGEYO MARAKWET.
Shirika la huduma za misitu KFS limewahamisha maafisa wote katika kituo cha kulinda misitu cha Elgeyo forest katika kaunti ya Elgeyo Marakwet kufuatia mauaji ya watu wawili na wengine watatu […]
-
MALUMBANO BAINA YA RAIS NA NAIBU WAKE YAKASHIFIWA VIKALI.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wameshutumu majibizano ambayo yanaendelea kushuhudiwa baina ya rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wakiyataja kuwa hatari hasa wakati huu ambapo taifa […]
-
WAGOMBEA NYADHIFA ZA SIASA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUDUMISHA HESHIMA.
Wito umetolewa kwa wagombea nyadhifa za uongozi katika kaunti ya Pokot magharibi kuendesha kampeni zao kwa njia ya heshima, na kutowatumia vijana kuvuruga amani kwa maslahi yao ya binafsi. Aliyekuwa […]
-
WAGOMBEA NYADHIFA ZA KISIASA WAONYWA DHIDI YA KUCHOCHEA WANANCHI.
Mgombea ugavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi kwa tiketi ya chama cha UDA Simon Kachapin amewataka wanasiasa wote wanaowania nyadhifa za uongozi kaunti hii kuendesha kampeni zao kwa njia […]
-
KIWANDA CHA KUSINDIKA ASALI CHAZINDULIWA LOMUT.
Shirika la NRT kwa ushirikiano na mashirika mengine limezindua kitengo cha kusindika asali honey Processing unit eneo la Lomut katika kaunti hii ya Pokot Magharibi katika juhudi za kuhakikisha kuwa […]
-
WANASIASA WAONYWA DHIDI YA KUTUMIA MSAADA WA CHAKULA KUJIPIGIA DEBE.
Mwakilishi wadi maalum kaunti hii ya Pokot magharibi Elijah kasheusheu amepongeza hatua ya serikali kutoa msaada wa mahindi kwa ajili ya wakazi wanaokabiliwa na makali ya njaa maeneo mbali mbali […]
-
UFISADI WATAJWA KUWA KIKWAZO KIKUU KWA UKUAJI WA UCHUMI POKOT MAGHARIBI.
Mwaniaji kiti cha mwakilishi kina mama katika kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia chama cha KANU Bi. Catherine Mukenyang amesema kuwa utawala wake utatoa kipau mbele kwa vita dhidi ya […]
-
WAPIGA KURA 220,026 WASAJILIWA POKOT MAGHARIBI
Afisa wa uchaguzi katika tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kaunti hii ya Pokot Magharibi Joyce Wamalwa amesema Jumla ya wapiga kura alfu 220,026 wamesajiliwa kuwa wapiga kura.Katika mahojiano […]
Top News










