News
-
MIITO YA AMANI YAENDELEA KUTOLEWA SIKU CHACHE KABLA YA UCHAGUZI MKUU.
Vijana katika Kaunti ya Pokot Magharibi wameapa kutokubali kushirikiana na wanasiasa wanaowatumia kuvuruga mikutano ya wapinzani wao kwa manufaa yao ya binafsi.Wakiongozwa na Stephen machar wakaazi wa kaunti hii wameendelea […]
-
KHAEMBA ATOA CHANGAMOTO KWA MRIDHI WAKE KUMPIKU KIMAENDELEO.
Gavana wa kaunti ya Trans nzoia Patrick Khaemba ambaye anakamilisha hatamu yake ya uongozi amemrai gavana wa pili atakayechaguliwa kuongoza kaunti hiyo kujibidiisha kutekeleza miradi zaidi ya alivyofanya katika mihula […]
-
MATAMSHI YA RUTO YAKASHIFIWA NA VIONGOZI TRANSNZOIA
Viongozi wanaoegemea mrengo wa Kenya kwanza wamekashifu matamshi ya naibu wa rais wiliam ruto aliyetoa dhidi ya waziri wa ulinzi eugine wamalwa wakimwomba ahubiri amani kwa Wakaazi wa Kenya nzimaWakiongozwa […]
-
WAKAAZI ENEO LA SIGOR WAOMBWA KUDUMISHA AMANI WAKATI HUU WA UCHAGUZI
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti hii ya pokot magharibi kudumisha amani na kutokubali kutumika vibaya na wanasiasa kuvuruga amani kwa manufaa yao ya binafsi hasa wakati huu ambapo taifa […]
-
SHUGHULI YA KUWANUNUA MIFUGO NA KUWACHINJA YAANZA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Serkali kuu ikishirikiana na shirika la msalaba mwekundu imeanzisha mpango wa kununua mifugo na kuwachinjia Wakaazi katika kaunti kumi na tatu za maeneo kame ilikuwanusuru kutokana na athari za ukame […]
-
WAKULIMA WAHADAIWA NCHINI NA SERKALI KUU
Mgombea kiti cha ubunge kwa chama cha UDA Wesley Kipchumba Korir ameisuta serikali kuu kupitia kwa wizara ya Kilimo kwa kuwahadaa wakulima wa mahindi nchini. Akihutubia wenyeji eneo bunge hilo […]
-
ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE LA KAUNTI YA TRANSNZOIA AKOSOLEWA VIKALI
Mgombea kiti cha useneta Kaunti ya Trans Nzoia kwa chama cha ODM Muliro Musoke amekosoa vikali hatua ya aliyekuwa Spika Wa Kaunti ya Trans Nzoia Joshua Werunga kuendelea kukosoa utendakazi […]
-
WENYEJI WA POKOT MAGHARIBI WASHAURIWA KUMCHAGUA KIONGOZI WA AZIMIO LA UMOJA
Mwenyekiti wa chama cha ODM eneo la Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Lorien ameendelea kumpigia debe mombea urais wa chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya […]
-
SERKALI YA GAVANA LONYANGAPUO YASUTWA NA SENETA POGHISIO
Seneta wa kaunti hii ya Pokot Magharibi Samwel Poghisio ameendelea kuisuta serikali ya gavana John Lonyangapuo kuhusu jinsi ambavyo inashughulikia maswala mbali mbali yanayowakumba wakazi wa kaunti hii.Akirejelea visa vya […]
-
KIWANDA CHA NZOIA GRAINS CHAFUNGULIWA UPYA TRANS NZOIA.
Kiwanda cha kusaga mahindi cha Nzoia Grains Kaunti ya Trans Nzoia kimefunguliwa upya kuanza kusaga unga utakao anza kuuzwa kwa maduka hivi karibuni, baada ya mgombea wa kiti cha Ugavana […]
Top News









