MATAMSHI YA RUTO YAKASHIFIWA NA VIONGOZI TRANSNZOIA


Viongozi wanaoegemea mrengo wa Kenya kwanza wamekashifu matamshi ya naibu wa rais wiliam ruto aliyetoa dhidi ya waziri wa ulinzi eugine wamalwa wakimwomba ahubiri amani kwa Wakaazi wa Kenya nzima
Wakiongozwa na mwakilishi wadi ya hospital erick wafula mwangale amemrai naibu wa rais wiliam ruto kutoendeleza siasa za matusi dhidi ya wapinzani wake na kumtaka ahubiri amani
Wamemtaka makamu wa rais kuwa kielelezo chema kwa Wakaazi ambao anaogoza na kujiepusha na mambo ambayo huenda yakamwaribia wakti anaposaka kura

[wp_radio_player]