News
-
WADAU WAENDELEZA UHAMASISHO KUHUSU MABADILIKO YA HALI YA ANGA.
Ipo haja kwa serikali za kaunti kubuni na kutekeleza sheria kuhusu mabadiliko ya hali ya anga kando na kubuni bajeti kushughulikia hali hiyo. Akizungumza baada ya kuongoza kikao na wakazi […]
-
KOMOLE AKANA RIPOTI KUWA POKOT MAGHARIBI HAIJAATHIRIKA NA BAA LA NJAA.
Naibu gavana kaunti hii ya Pokot magharibi Robert Komole amepinga vikali ripoti inayoonyesha kwamba kaunti hii haijaathirika pakubwa na baa la njaa ilivyo katika kaunti 23 ambazo zimetajwa kukumbwa na […]
-
KACHAPIN AENDELEZA MIKAKATI YA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA POKOT MAGHARIBI.
Gavana wa kaunti hii ya Poko magharibi Simon Kachapin aliandaa jana jioni kikao na balozi wa Denmark humu nchini Ole Thonke katika makao makuu ya ubalozi wa taifa hilo ulioko […]
-
“PUNGUZA POMBE UWASHUGHULIKIE WAFANYIKAZI,” BARASA AMWAMBIA ATWOLI.
Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa mamsuta katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli kufuatia pendekezo lake la kutaka serikali kupiga marufuku mashirika ya ajira ambayo husafirisha wafanyakazi Wakenya nchini Saudi Arabia. […]
-
ZAIDI YA WATU 1000 WAKABILIWA NA MATATIZO YA AKILI TRANS NZOIA.
Serikali ya Kaunti ya Trans Nzoia imeweka mikakati ya kuimarisha matibabu kwa watu wanaoishi na matatizo ya akili. Akihutubu kwenye hafla ya maadhimisho ya siku ya afya ya akili ulimwenguni […]
-
TODOSIA AAHIDI KUTOA KIPAU MBELE KWA SWALA LA ELIMU MNAGEI.
Mwakilishi wadi ya Mnagei eneo bunge la Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi Richard Todosia ameahidi kutoa kipau mbele kwa miundo mbinu ya sekta ya elimu ili kuimarisha viwango […]
-
WADAU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA ELIMU POKOT MAGHARIBI.
Wito umetolewa kwa wadau wa sekta ya elimu katika kaunti hii ya Pokot magharibi kushirikiana ili kuhakikisha kuwa viwango vya elimu vinaimarika hasa matokeo ya mitihani ya kitaifa. Ni wito […]
-
OPARESHENI YA KIUSALAMA POKOT MAGHARIBI YAKASHIFWA VIKALI
Baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamesuta oparesheni ya kiusalama ambayo inaendeshwa katika baadhi ya maeneo ya kaunti hii hasa eneo la marich kufuatia uvamizi uliofanyika kaunti […]
-
IDADI YA WENYEJI KUNGATWA NA NYOKA YAONGEZEKA KAPTARA BARINGO
Jumla ya visa 378 vya watu kung’atwa na nyoka vimeripotiwa katika maeneo tofauti ya kaunti ya baringo kati ya mwezi januari na septemba mwaka huu 2022, huku idadi kamili ya […]
-
HISIA ZINAENDELEA KUTOLEWA KUHUSIANA NA JOPO LILILOBUNIWA LA KUANGAZIA MTAALA WA CBC POKOT MAGHARIBI.
Viongozi wa miungano ya walimu maeneo mbali mbali ya nchi wameendelea kuibua hisia mbali mbali kuhusiana na hatua ya rais William Ruto kubuni jopo la kuangazia utekelezwaji wa mtaala mpya […]
Top News










