News
-
WAHUDUMU WA AFYA TRANSNZOIA WAAGIZWA KUREJEA KAZINI AU WAFUTWE
Hatima ya wahudumu wa afya wanaogoma katika kaunti ya Transnzoia haijulikani kufuatia barua iliyoandikwa na uongozi wa kaunty hiyo wa kuwataka kusitisha mgomo huo mara moja la sivyo nafasi zao […]
-
GAVANA WA KAKAMEGA AMTAJA MRIDHI WAKE MWAKA WA 2022
Huku siasa za uridhi wa kiti cha ugavana wa Kakamega zikionekana kungo’a nanga gavana wa kaunti hiyo dkt. Wycliffe oparanya amemtaka naibu wake prof. Philip kutima kutima kuanza kutafuta umaarufu […]
-
SENETA WA POKOT MAGHARIBI AWAHIMIZA WENYEJI KUDUMISHA AMANI MSIMU HUU WA KRISIMASI
Wenyeji wa kaunty ya pokot magharibi wanaoishi mpakani mwa kaunty jirani ikiwemo turkana baringo na elgeyo marakwet wametakiwa msimu huu wa krisimasi kudumisha amaniNdio kauli yake seneta wa kaunty hii […]
-
MWANAMME MMOJA AMWIBA MBUZI WA JIRANI NA KUMCHINJA ITEN
ELGEYO MARAKWET Mahakama ya Iten imemwamuru mwanamme mmoja katika eneo hilo kulipa shilingi alfu tatu ama kusalia korokoroni kwa muda wa mwaka mmoja baada ya kupatikana na mbuzi wa wizi.Mahakama […]
-
WATEMBELEA WASICHANA WALIOKWEPA UKEKETAJI NA NDOA ZA MAPEMA ORTUM
POKOT MAGHARIBI Kampuni ya nguvu za umeme KPLC tawi la bonde la ufa kwa ushirikiano na washikadau wengine pamoja na wahandisi wamewatembelea wanafunzi wa shule ya msingi ya wasichana ya […]
-
HAKUNA NAFASI KWA WAHUDUMU WA AFYA WANAOGOMA
BUSIA Gavana wa kaunti ya Busia Sospeter Ojamong amesema kuwa hakuna nafasi kwa wahudumu wa afya wanaohusisha madaktari na wauguzi wanaoshiriki mgomo kwenye kaunit ya Busia.Akizungumza kwenye mkutano wa wasomi […]
-
SEKTA YA UCHUKUZI YASALIA KUWA CHANGAMOTO UASIN GISHU
Muungano wa makanisa katika kaunti ya Uasin Gishu imesema kuwa sekta ya uchukuzi ya umma imesalia kuwa changamoto msimu huu wa krismasi kutokana na kuendelea kupuunzwa kwa kanununi zilizowekwa na […]
-
MWANAFUNZI WA CHUO CHA KIBABII ALIYEPIGWA RISASI MARA NNE AZIKWA KWAO NAMANJALALA
TRANS NZOIA Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kibabii Sabatian Wanjala Simiyu aliyeuliwa kwa kupigwa risasi na afisa wa polisi majira ya alfajiri anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao kwenye kijiji cha […]
-
MWANAFUNZI WA GREDI YA NNE AWACHA MASOMO KUSHUGHULIKIA MAMAKE NA WADOGO WAKE KAPSOWAR
ELGEYO MARAKWET Mwanafunzi mmoja wa gredi ya nne kwenye shule ya msingi ya kapsowar katika kaunti ya Elgeyo Marakwet amelazimika kukatiza masomo yake ilikukithi mahitaji ya malezi ya nduguze pamoja […]
-
SENETA WA POKOT MAGHARIBI ATAKA USALAMA KUIMARISHWA MPAKANI MWA POKOT NA MARAKWET
Seneta wa kaunti ya pokot magharibi daktari samuel poghisio amewakashifu vikali wajambazi wanoainiminika kutoka katika jamii ya marakwet ambao waliwajeruhi watu wawili kwa kuwapiga risasi siku mbili zilizopita katika eneo […]
Top News