News
-
WAZIRI WA ELIMU AENDELEZA UKAGUZI WA UFUNGUZI WA SHULE
Waziri wa elimu profesa George Magoha anaendelea kuzuru shule mbalimbali kutathmini hali ya ufunguzi wa shule shughuli ambayo ilianza hapo jana huku leo akizuru kuanti ya Nyeri. Akizungumza huko Nyeri […]
-
AKOFU CRAWLEY AKASHIFU HALI YA WANAFUNZI KUTOVALIA BARAKOA
Askofu wa kanisa Katholiki dayosisi ya Kitale Anthony Maurice Clawley amelezea wasisi kuhusu tabia ya idadi kubwa ya wanafunzi kutovalia barako wanaporejea nyumbani wakitoka shuleni.Crawley amesema iwapo hali hiyo haitakabiliwa […]
-
ODM YAPANGA MIKAKATI YA KUIMARISHA UMAARUFU WAKE
Chama cha ODM kinatarajiwa kurejelea misururu ya mikutano yake nchini ili kukabili uwezekano wa kuimarika kwa ushawishi wa kisiasa wa naibu wa rais daktari William Ruto katika maeneo mbali mbali […]
-
MWANAFUNZI WA DARASA LA TANO AJITIA KITANZI
KAKAMEGA Mwanafunzi mmoja wa darasa la tano amejitia kitanzi ndani ya jikoni ya ya wazazi wake katika kijiji cha Eshurumbwe katika eneo bunge la Matungu kwenye kaunti ya Kakamega.Familia yake […]
-
MBUNGE ATOA WITO KWA WAKAZI KUWAREJESHA SHULENI WANAFUZI WA KIKE WALIOPACHIKWA MIMBA
BUNGOMA Mbuge wa kike katika kaunti ya bungoma Catharine Wambilianga ameiomba jamii za eneo hilo kuwarejesha shuleni wanafunzi kwa kike ambao wamepachikwa mimba hasa msimu huu wa janga la corona […]
-
MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA AUWAWA CHUMBANI MWAO LIKUYANI KAKAMEGA
Wimbi la simanzi limetanda katika kijiji cha kilimani kata ya Likuyani kwenye kaunty ya Kakamega baada ya mtoto mmoja mwenye umri wa miaka kumi na minne kuuwawa kinyama na Maiti […]
-
WENYEJI WA KIJIJI CHA KOMOL KAUNTI YA POKOT WATAKA HUDUMA ZA MATIBABU KUIMARISHWA
Wito umetolewa kwa Mwakilishi wadi ya Kapenguria na Serikali ya kaunti ya Pokot Magharibi kuimarisha huduma za matibabu na miundo msingi katika zahanati ya Komol iliyo katika hali mbaya.Wakiongozwa na […]
-
USALAMA WA IMARISHWA KATIKA ENEO BUNGE LA POKOT MAGHARIBI MSIMU HUU WA KRISIMASI
Usalama katika kaunti ya Pokot Magharibi umeimarishwa msimu huu wa sherehe za Krismasi na mwaka mpya.Akithibitisha haya Kamanda wa Polisi kaunti hii Julius Kyumbule amesema kuwa wameongeza Maafisa wa polisi […]
-
SHARTI LA KUTOKUWA NJE LAOMBWA KUONDOLEWA NA VIONGOZI WA KIDINI
Viongozi wa kidini kwenye kaunti ya Uasin Gishu wameiomba serikali kuondoa sharti la kutokuwa nje kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri wakati wa sherehe za mwaka mpyaWakiongozwa na […]
-
SERIKALI YA BARINGO KUBUNI MAHAKAMA YAKE.
Serikali ya kaunti ya Baringo imetangaza mikakati ya kubuni mahakama yake ya kaunti hiyo itakayosikiliza kesi mbalimbali zikiwemo za wanaokwepa kulipa ushuru.Gavana Starnely Kiptis amesema mahakama hiyo itaanza kuhudumu mwakani […]
Top News