News
-
WAKAAZI KAKAMEGA WAMTAKA GAVANA OPARANYA KUKAMILISHA MIRADI ALIYOANZISHA
Wakaazi wa kaunti ya Kakamega wamemtaka gavana wao Wycliffe Ambetsa Oparanya kumaliza miradi aliyoianzisha kabla ya hatamu yake ya uongozi kukamilika.Baadhi ya miradi iliyoanzishwa miaka kadhaa iliyopita ikiwemo ujenzi wa […]
-
SENETA POGHISIO APONGEZA WAWAKILISHI WADI WA POKOT MAGHARIBI KWA KUPASISHA MSWADA WA BBI
Seneta wa kaunti hii ya Pokot Magharibi Samwel Poghisio amepongeza wabunge katika bunge la kaunti hii kwa hatua ya kupitisha mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2020.Akizungumza baada ya […]
-
KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUJADILI MSWADA WA MAREKEBISHO YA KATIBA WA 2020 NA KUUPIGIA KURA HII LEO
Huku mabunge ya kaunti mbalimbali nchini yakizidi kujadili mswada wa marekebisho ya katiba ya mwaka wa 2020 kupitia ripoti ya BBI, wawakilishi wadi kwenye bunge la kaunti ya pokot magharibi […]
-
WAKAAZI WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WASHAURIWA KUTOA MAONI YAO KUHUSIANA NA MAREKEBISHO YA KATIBA KUPITIA BBI
Huku bunge la kaunti ya Pokot Magharibi likirejelea vikao vyake rasmi baada ya likizo ndefu ya janga la korona wakaazi wa kaunti hii wametakiwa kujitokeza katika maeneo tofauti kutoa maoni […]
-
IDARA MBALIMBALI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YAKAMILISHA KIKAO CHA KWANZA CHA MAKADIRIO YA BAJETI.
Kikao cha Kamati ya makadirio ya bajeti ya kaunti ya Pokot Magharibi imewahusisha maafisa wa idara mbalimbali katika kaunti hii pamoja na wakazi wachache ilikamilika vyema katika ukumbi wa maonyesho […]
-
MWANAMKE AFARIKI BAADA YA KUPIGWA NA MUME WAKE FIMBO KICHWANI
Mwanamke mmoja katika eneo la Sun Flower hapa mjini Makutano kaunti ya Pokot Magharibi amethibitishwa kuiaga dunia baada ya kupigwa na mume wake kichwani mara kadhaa akitumia fimbo usiku wa […]
-
ZOEZI LA KUWATEUWA MAKURUTU WA KDF LAENDELEA KWA SIKU YA PILI KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Zoezi la kuwaajiri vijana katika Idara ya ulinzi nchini KDF imeendelea kwa siku ya pili hii leo katika kaunti hii ya Pokot Magharibi katika eneo la Chepareria.Hiyo jana zoezi hilo […]
-
SERKALI KUU PAMOJA MASHIRIKA MBALIMBALI YAENDELEZA VITA DHIDI YA UKEKETAJI NA KUWAOZA MABINTI MAPEMA ENEO LA ALALE
Hafla ya maadhimisho ya kimataifa ya kukomesha ukeketaji ambayo imefanyika katika eneo la Alale kwenye kaunti ya Pokot Magharibi imewahusisha raia wa taifa la Uganda na wa taifa hili la […]
-
SERKALI YA KITAIFA YAPIGA JEKI UJENZI WA SHULE ZA MIPAKANI
POKOT MAGHARIBI Serikali ya kitaifa ikishirikiana na serikali ya Kaunti ya Pokot Magharibi imeendelea kupiga jeki ujenzi wa shule za maeneo ya mipakani ikiwa ni njia mojawapo ya kudumisha amani […]
-
WENYEJI WA ENEO LA MOIBEN KAUNTI YA TRANS NZOIA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA SERIKALI BAADA YA SERIKALI KUTWAA ARDHI YENYE EKARI 150
Serikali kuu imefanikiwa kutwaa ardhi yenye ekari 150 katika eneo la Moiben Nzoia katika eneobunge la Cherangany kaunti ya Trans Nzoia iliyonyakuliwa zaidi ya miongo miwili iliyopita na familia ya […]
Top News