News
-
AMOS WAFULA AMEKABIDHIWA TIKETI NA CHAMA CHA FEDERAL KUWANIA UCHAGUZI MDOGO WA KABUCHAI
Chama cha Federal kimemkabidhi Amos Wafula tiketi ya kugombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa Kabuchai.Ni rasmi kwamba chama hicho kitawasilisha muwaniaji wake katika uchaguzi huo mdogo wa Kabuchai baada ya […]
-
AFISI YA WATOTO MJINI KAPENGURIA YAWAONYA WALE AMBAO WANAENDELEZA UKEKETAJI NA KUWAOZA WATOTO WA KIKE KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Afisa katika idara ya watoto mjini Kapenguria Fredrick Nyatigi amesikitishwa na visa vya ukeketaji na kuwaoza wasichana mapema katika kaunti ya Pokot Magharibi.Nyatigi amewaonya vijana wanaohusika katika kuwalazimisha mabinti hao […]
-
MBUNGE WA KAPENGURIA SAMUEL MOROTO AMEWATAKA WAKAAZI WA ENEO LA KABOTO CHEPCHOINA KUISHI KWA AMANI
POKOT MAGHARIBI Saa chache tu baada ya Kalya Radio kuangazia kisa cha baba ya watoto tisa aliyenuia kununua shamba kushambuliwa na kundi la vijana kwenye eneo la Kaboto Chepchoina, Mbunge […]
-
WANAHABARI WAZUILIWA KUINGIA KWENYE MASHULE POKOT MAGHARIBI
Huku leo ikiwa siku ya tatu Wanafunzi wakirejea shuleni kote nchini, hali katika kaunti ya Pokot Magharibi haijabainika wazi baada ya Wanahabari kuzuiliwa kuzuru mashule na kutathmini hali.Hata hivyo Kalya […]
-
WIZI WA MIFUGO WATEKELEZWA TIRIOKO BARINGO KAUNTI
Idadi ya Mifugo isiyojulikana imeibwa katika eneo la Kerio kwenye Wadi ya Tirioko kaunty ya Baringo, wizi ambao umetekelezwa na Watu wanaoaminika kutoka katika jamii ya Marakwet japo hakuna Mauaji […]
-
FORD KENYA YAFANYA KURA ZA MCHUJO ENEO BUNGE LA KABUCHAI
Chama cha Ford Kenya kimeandaa uchaguzi wake wa mchujo wa kutafuta atakayepeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mdogo wa kuwania ubunge wa eneobunge la Kabuchai.Katika kura hiyo ya mchujo […]
-
WAZIRI WA ELIMU AENDELEZA UKAGUZI WA UFUNGUZI WA SHULE
Waziri wa elimu profesa George Magoha anaendelea kuzuru shule mbalimbali kutathmini hali ya ufunguzi wa shule shughuli ambayo ilianza hapo jana huku leo akizuru kuanti ya Nyeri. Akizungumza huko Nyeri […]
-
AKOFU CRAWLEY AKASHIFU HALI YA WANAFUNZI KUTOVALIA BARAKOA
Askofu wa kanisa Katholiki dayosisi ya Kitale Anthony Maurice Clawley amelezea wasisi kuhusu tabia ya idadi kubwa ya wanafunzi kutovalia barako wanaporejea nyumbani wakitoka shuleni.Crawley amesema iwapo hali hiyo haitakabiliwa […]
-
ODM YAPANGA MIKAKATI YA KUIMARISHA UMAARUFU WAKE
Chama cha ODM kinatarajiwa kurejelea misururu ya mikutano yake nchini ili kukabili uwezekano wa kuimarika kwa ushawishi wa kisiasa wa naibu wa rais daktari William Ruto katika maeneo mbali mbali […]
-
MWANAFUNZI WA DARASA LA TANO AJITIA KITANZI
KAKAMEGA Mwanafunzi mmoja wa darasa la tano amejitia kitanzi ndani ya jikoni ya ya wazazi wake katika kijiji cha Eshurumbwe katika eneo bunge la Matungu kwenye kaunti ya Kakamega.Familia yake […]
Top News