News
-
ONGEZEKO LA PEMBEJEO ZA KILIMO NA BEI YA MAFUTA LAZUA HOFU MIONGONI MWA WAKULIMA TRANS NZOIA
Kuendelea kupanda kwa bei ya pembejeo na kuongezwa kwa bei ya mafuta msimu huu wa upanzi huenda kukapelekea wakulima wengi kushindwa kumudu gharama ya kilimo, hivyo kuathiri pakubwa uzalishaji wa […]
-
WAKULIMA WATAKIWA KUWA WAANGALIFU DHIDI YA MBEGU GHUSHI
Wakulima kaunti hii ya Pokot Magharibi na taifa jirani la Uganda wametakiwa kuwa waangalifu msimu huu wa upanzi dhidi ya kununua mbegu ghushi ambazo zinauzwa na wafanyibiasha walaghai. Akizungumza na […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAUNGA MKONO MASHARTI MAPYA YALIYOTANGAZWA NA RAIS KENYATTA
Baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wametetea masharti mapya ambayo yalitangazwa na rais uhuru kenyatta katika kukabili maambukizi zaidi ya virusi vya corona.Mbunge wa Sigor Peter Lochakapong […]
-
MBUNGE WA KACHELIBA MARK LUMNOKOL APIGIA DEBE CHAMA CHA UDA
Mbunge wa Kacheliba kaunti ya Pokot Magharibi Mark Lumnokol ameendelea kupigia debe chama cha UDA ambacho kinahusishwa na naibu rais William Ruto.Lumnokol amekariri kauli ya Ruto kuwa UDA na ODM […]
-
MKUTANO WA AMANI BARINGO WAENDELEA KUIBUA HISIA MIONGONI MWA VIONGOZI
Hisia mbali mbali zimeendelea kuibuliwa na viongozi kanda ya kaskazini mwa bonde la ufa kufuatia orodha iliyotolewa ya wamiliki wa silaha haramu kanda hii katika mkutano wa amani uliofanyika eneo […]
-
WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUUNGA MKONO MPANGO WA UPATANISHI BBI
Seneta wa kaunti hii ya Pokot Magharibi Samwel Poghisio ameendelea kupigia debe mpango wa upatanishi BBI pamoja na mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2020.Akizungumza katika mahojiano na wanahabari, […]
-
IDARA YA MEGEREZA KWENYE KAUNTI BUNGOMA INAKUBWA NA HOFU YA MSAMBAO WA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA KUFUATIA UHABA WA MAJI
Idara ya magereza kwenye kaunti ya Bungoma ni mojawapo ya idara ambazo zinaendlea kuathirika pakubwa kutokana na ukosefu wa maji waki huu wa janga la corona.Msimamizi wa gereza hilo Hassan […]
-
VYAMA VYA ANC, KANU ,WIPER NA FORD KENYA CHA ZINDUA MUUNGANO WA ONE KENYA ALLIANCE
muungano wa one kenya alliance umezindua mpango wa kufanya ziara kote nchini ili kuwahamasisha wakenya kuhusu utangamano.hata hivyo muungano huo ambao unahusisha vyama vya anc, ford kenya, wiper na kanu […]
-
WATU WENYE UMRI WA MIAKA 58 NA ZAIDI KUFANYWA KIPAUMBLE KATIKA SHUGHULI YA SERIKALI YA UTOAJI WA CHANJO DHIDI YA CORONA
Serikali kupitia wizara ya afya imewaruhusu watu wenye umri wa zaidi ya miaka 58 kuanza kuchanjwa . Hatua hiyo imeafikiwa baada ya data ya visa vya maambukizi kufichua kwamba asilimia […]
-
WANAMME WAWILI WAHUKUMIWA KIUFUNGU CHA MIAKA 120 NA 80 MTAWALIA NA MAHAKAMA YA KITALE
Mahakama ya Kitale imewahukumu wanamme wawili kifungu cha miaka 120 na miaka 80 mtawalia gerezani baada ya kushtakiwa kwa wizi wa kimabavu.Mwanamme mmoja ambaye ametambuliwa kama Walter Mong’are amehukumiwa miaka […]
Top News