News
-
WAHUDUMU WA MATATU MJINI KITALE WALALAMIKIA UKOSEFU WA VYOO KATIKA KITUO KIKUU CHA MABASI CHA KITALE
Uhaba wa vyuo vya kutosha na maji safi mjini Kitale umewasababishia wasafiri, wafanyibiashara na wahudumu wa magari ambao wanahudumu katika kituo kikuu cha mabasi cha kitale kuhangaika pakubwa wanapoendeleza shughuli […]
-
PANA HAJA YA SERIKALI KUFANYA OPARESHENI KAPEDO BILA MAPENDELEO
Mbunge wa Kapenguria kaunti hii ya Pokot Magharibi Samwel Moroto ameitaka serikali ya kitaifa kushughulikia tatizo la ukosefu wa usalama katika eneo la Kapedo eneo bunge la Tiaty bila mapendeleo. […]
-
WADAU KATIKA SEKTA YA ELIMU WASHAURIWA KUWEKA MIKAKATI MAHUSUSI YA KUSITISHA MIGOMO YA WANAFUNZI
Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa ametoa wito kwa wadau katika sekta ya elimu kuweka mikakati mahususi ya kuzungumza na wanafunzi ili kutatua maswala yanayowathiri kuzuia misururu ya migomo inayoshuhudiwa katika […]
-
MCHUNGAJI AKAMATWA BAADA YA KUMPACHIKA MIMBA MWANAFUNZI WA DARASA LA SITA MOI’S BRIDGE
Mchungaji wa kanisa moja katika mtaa wa Reli viungani mwa mji wa Moi’s Bridge Christopher Juma mwenye umri wa miaka 45 amekamatwa na polisi wa kituo kidogo cha Mashine baada […]
-
VIONGOZI WA KISIASA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAISHAURI SERIKALI KUU KUWA NA UTU INAPOFANYA OPARESHENI KAPEDO
Viongozi kaunti hii ya pokot magharibi wameendelea kutoa wito kwa serikali kuwa na utu katika kuendeleza oparesheni ya kuwakabili wahalifu wanaosababisha ukosefu wa usalama eneo la Kapedo mpakani pa kaunti […]
-
WALIMU WAKUU KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAPUUZILIA MBALI AGIZO LA WIZARA YA ELIMU
Walimu wakuu kaunti ya Pokot Magharibi wamepuuzilia mbali agizo la waziri wa elimu Proff George Magoha la kutowatuma nyumbani wanafunzi kutokana na karo.Wiki hii kaunti ya Pokot Magharibi wanafunzi wengi […]
-
WENGI WA WASICHANA NA AKINA MAMA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI WANAKOSA VISODO
Mamia ya wasichana na akina mama katika kaunti ya Pokot Magharibi wanakabiliwa na changamoto za kukosa visodo sababu ya ukosefu wa raslimali hali ambayo inaathiri masomo yao wakati huu wa […]
-
MALI YENYE DHAMANI ISIYOJULIKANA YAHARIBIWA BAADA YA BWENI KUTEKETEA
Mali yenye dhamani isiyojulikana imeteketea usiku wa kuamkia leo katika shule ya upili ya Kitur kaunti ya Baringo baada ya moto mkubwa kuteketeza bweni moja la shule hiyo.Maafisa wa usalama […]
-
SERIKALI YASHAURIWA KUWASHIRIKISHA WENYEJI KUWATAMBUA WAHALIFU KAPEDO
Mshirikishi wa masuala ya amani katika shirika la SIKOM Peter Sikamoi ameitaka serikali ya kitaifa kuwashirikisha washikadau wote katika kuwatambua wahalifu wanaoishi miongoni mwa wanajamii.Akirejelea oparesheni inayoendeshwa katika Eneo bunge […]
-
MWANAMME AJITIA KITANZI BAADA YA KUBAINI KUWA ATAWEKEWA CHUMA KWENYE MGUU WAKE
Uchunguzi umeanzishwa kubaini kifo cha mwanamme mwenye umri wa miaka 38 ambaye mwili wake umepatikana nyumbani kwake katika kijiji cha Bulusu eneobunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega.Mwanamme huyo alijitia kitanzi […]
Top News