News
-
WAKAZI WA KACHELIBA WALALAMIKIA UKOSEFU WA UMEME
Wakazi wa soko la Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi wanalalamikia ukosefu wa nguvu za umeme wakisema wamekuwa kwenye giza kwa takriban wiki tatu sasa.Wakazi hao sasa wanaitaka wizara ya kawi […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA SHUGHULI YA KUCHANJA NG’OMBE KARITA
Maafisa kutoka idara ya kilimo kaunti hii ya Pokot magharibi wakiongozwa na waziri wa kilimo kaunti hii Geofrey Lipale wamekita kambi eneo la Karita nchini Uganda kuendeleza zoezi la kutoa […]
-
MRADI WA UCHIMBAJI VISIMA WAZINDULIWA POKOT MAGHARIBI
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amezindua rasmi mradi wa uchimbaji visima maeneo mbali mbali ya kaunti hii katika shughuli iliyofanyika eneo la Riwo.Akizungumza wakati wa shughuli […]
-
WIZI WA MIFUGO WAREJELEWA ENO LA KARITA BAADA YA KUPINGWA MWAFAKA WA NABILATUK
Visa vya uvamizi na wizi wa mifugo baina ya jamii za Pokot na Karamoja eneo la Karita mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda vimeanza […]
-
HAMASISHO YATOLEWA KWA UMMA KUHUSU UMUHIMU WA KUDAI FIDIA BAADA YA AJALI
Umma umetakiwa kufuata taratibu zinazostahili panapotokea ajali ili kuhakikisha haki inatendeka kwa mwathiriwa.Akitoa hamasisho kwa wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi kuhusu umuhimu wa kufuata fidia, wakili Philip Magal […]
-
WALUKE AAHIDI KUONGEZA IDADI YA WANAFUNZI WANAONUFAIKA NA CDF ENEO BUNGE LA SIRISIA.
Mbunge wa Sirisia kaunti ya Bungoma John Waluke amesema kuwa anapania kuongeza idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mgao wa fedha kutoka hazina ya maendeleo ya maeneo bunge CDF eneo bunge […]
-
WAKAZI 500 KAUNTI YA TURKANA WATARAJIWA KUNUFAIKA NA MIRADI YA MAENDELEO
Zaidi ya wakazi alfu 500 katika kaunti ya Turkana wanatarajiwa kunufaika na miradi mbali mbali ya shilingi milioni 900 zilizotolewa na benki ya dunia.Miradi hiyo ambayo inatekelezwa chini ya mpango […]
-
UJENZI WA SOKO LA SWAM KAUNTI YA TRANS NZOIA WAZINDULIWA RASMI
Kamishina wa kaunti ya trans nzoia Sam Ojwang’ amezindua rasmi ujenzi wa ofisi ya forodha na soko eneo la Swam katika mpaka wa Kenya na Uganda shughuli itakayogharimu takriban shilingi […]
-
SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBIWA YASUTWA KWA KUDORORA SEKTA YA AFYA
Siku chache tu baada ya maafisa kutoka wizara ya afya kaunti hii ya Pokot magharibi kufika mbele ya bunge la kaunti hii kuhusu afya kujitetea kufuatia madai ya kutelekezwa idara […]
-
SERIKALI YA BUNGOMA YASHUTUMIWA KWA KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA WAFANYIBIASHARA WADOGO WADOGO
Wanaharakati chini ya vuguvuvgu la Bungoma Liberation wameshutumu serikali ya kaunti ya Bungoma kwa kuendelea kuwatoza ada za juu wahudumu wa boda boda licha hali ngumu ya uchumi.Vuguvugu hilo kupitia […]
Top News