News
-
CHANJO DHIDI YA SURUA YATARAJIWA KUTOLEWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Idara ya afya katika kaunti hii ya Pokot magharibi inatarajiwa kuanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Surua au measles kwa watoto wenye chini ya umri wa miaka mitano kuanzia […]
-
KAUNTI YA ELGEYO MARAKWET YAENDELEA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILI UKEKETAJI
Serikali ya kaunti ya Elgeyo Marakwet kwa ushirikiano na shirika la umoja wa mataifa kuhusu idadi ya watu, serikali ya kitaifa na shirika la Marakwet girls foundation, imefanya mashauriano kuhusu […]
-
WANGAMATI ATAKIWA KUOMBA MSAMAHA WAKAZI WA BUNGOMA
Gavana wa kaunti ya Bungoma Wyclife Wangamati ametakiwa kuomba msamaha wakazi wa kaunti hiyo kwa matamshi yake kuwa ana damu ya kikundi cha fera.Kiongozi wa vuguvugu la Bungoma Liberation Zakaria […]
-
MAKUNDI YA WAKULIMA POKOT MAGHARIBI YANUFAIKA NA UFADHILI
Makundi 114 ya ukulima katika kaunti hii ya Pokot magharibi yamepokea ufadhili wa shilingi milioni 96 kupitia mradi wa climate smart ili kuwafaidi kwenye ukulima wao..Akizungumza na wanahabari katika hafla […]
-
LONYANGAPUO AWAHAKIKISHIA WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI MAENDELEO
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amewahakikishia wakazi wa kaunti hii kuwa serikali yake imejitolea kuhakikisha inatimiza miradi ya maendeleokwa manufaa ya wakazi.Akizungumza eneo la karenger kaunti […]
-
WANAHARAKATI BUNGOMA WATAKA USHIRIKIANO NA SERIKALI YA KAUNTI
Wanaharakati katika kaunti ya Bungoma wameitaka serikali ya kaunti hiyo kushirikiana na mashirika ya kijamii ili kuimarisha mazingira ya utendakazi na kuboresha huduma kwa umma.Wakiongozwa na Lumumba Wekesa wanaharakati hao […]
-
MAHAKAMA YAWAPA AFUENI MASKWOTA KAPSITWET TRANS NZOIA
Maskwota wa Kapsitwet Kaunti ya Trans Nzoia wamesifia uamuzi wa mahakama ya Kitale kwa kurejesha shamba la ekari alfu nne (4000) baada ya kumshitaki aliyekuwa Rais wa Pili Daniel Moi,marehem […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WACHANGAMKIA UJIO WA RAIS SAMIA NCHINI
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa nchini wananchi wakielezea matarajio yao kuhusu ziara ya rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan humu nchini.Kulingana na wakazi wa kaunti hii ya […]
-
SHUGHULI YA KUPIMA ARDHI ENEO LA KAPCHOK YAKASHIFIWA
Mwakilishi wadi ya Kapchok kaunti hii ya Pokot magharibi Peter Lokor amekashifu jinsi shughuli ya kubaini mpaka kati kaunti hii ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda eneo la […]
-
UVAMIZI WA AFISI ZA UDA TRANS NZOIA WASHUTUMIWA
Vijana katika kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kutokubali kutumika kisiasa na baadhi ya wanasiasa kaunti hiyo kwa kisingizio cha tofauti zao za kisiasa.Ni wito wake mshauri mkuu wa kisiasa katika […]
Top News