News
-
WATAKAOKOSA NAFASI KATIKA VYUO VIKUU WATAKIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA KIUFUNDI
Wakuu wa shule katika kaunti ya Trans nzoia ambao shule zao zilitia fora katika mtihani wa KCSE wamewahimiza watahiniwa ambao watakosa nafasi za kujiunga na vyuo vikuu kutokata tamaa na […]
-
KISIERO APONGEZA MATOKEO YA KCSE ENEO LA ENDEBES TRANS NZOIA
Mwakilishi wadi wa Endebess ambaye pia ni kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti ya Trans-nzoia ameelezea kuridhishwa kwake kutokana na matokeo bora ambayo yamesajiliwa katika shule mbalimbali katika mtihani […]
-
EACC YASHUTUMIWA KWA KUFUFUA UPYA KESI INAYOHUSU UNUNUZI WA MAHINDI POKOT MAGHARIBI
Wanaharakati katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameshutumu tume ya maadili na kukabili ufisadi EACC kwa kufungua upya kesi inayohusu ununuzi wa mahindi uliotekelezwa na serikali ya kaunti hii ya […]
-
MATOKEO YA KCSE YAENDELEA KUSHEREHEKEWA POKOT MAGHARIBI
Walimu wa shule mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kupongeza matokeo bora katika mtihani wa kitaifa kwa kidato cha nne KCSE ambayo yalitangazwa jumatatu na waziri wa […]
-
WAKAZI WA TIATY BARINGO WAKOSA HUDUMA MUHIMU KUTOKANA NA OPARESHENI INAYOENDELEA
Wakaazi kutoka eneo la Tiaty kaunti ya Baringo wanaendelea kupitia hali ngumu ya maisha ambayo imewazonga kwa mda mrefu.Kulingana na wakaazi hao ni kwamba wamekosa chakula na bidhaa nyingine muhimu […]
-
HUENDA WANAFUNZI KUTOKA ENEOBUNGE LA BARINGO KUSINI WAKAKOSA KUREJEA SHULENI
Huku shule zikifunguliwa leo hii, huenda wanafunzi wanaosomea katika shule zilizoko eneo la Arabal, Chemorongion na Kapindasum eneo bunge la Baringo Kusini Kaunti ya Baringo wakakosa kufungua shule kufuatia utovu […]
-
WAFANYIBIASHARA WA KACHELIBA WALALAMIKIA UBOVU WA BARABARA
Wakazi wa eneo la Kacheliba kaunti hii ya Pokot Magharibi wamelalamikia hali mbovu ya barabara ya kutoka Kacheliba hadi Nakuyen.Wakiongozwa na Rhoda Sikamoi, wakazi hao ambao wengi wao ni wafanyibiashara […]
-
‘TUSINYAKUE ARDHI KIMABAVU’ ASEMA MWAKILISHI WADI YA MNAGEI BENJAMIN ARAULE
Mwakilishi wadi ya Mnagei kaunti hii ya Pokot Magharibi Benjamin Araule ameshutumu hatua ya mkazi mmoja eneo la Psigirio katika wadi ya Mnagei kunyakua barabara ya umma anayodai iko katika […]
-
BUNGOMA LIBERATION LATAKA GAVANA WA BUNGOMA KUCHUNGUZWA
Vuguvugu la Bungoma liberation linataka gavana wa kaunti ya Bungoma Wyclife Wangamati kufanyiwa uchunguzi kufuatia matamshi yake kuwa ana damu ya kikundi cha FERA na atawaandama waakilishi wadi wanaopinga mipango […]
-
ARAULE ATAKA KUIMARISHWA BARABARA YA SUNFLOWER HADI UWANJA WA NDEGE
Mwakilishi wadi ya Mnagei eneo bunge la Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Benjamin Araule ameahidi kuhakikisha hali ya barabara ya kutoka shule ya Sunflower mjini Makutano hadi kiwanja ndege […]
Top News