News
-
WAMILIKI HALALI WA ARDHI TRANS NZOIA WAHAKIKISHIWA USALAMA WA ARDHI ZAO
Serikali imejitolea kikamilifu kusuluhisha mizozo ya ardhi katika kaunti ya Trans nzoia kwa kuwapa hati miliki wamiliki halali.Kamishina wa kaunti hiyo Sam Ojwang amesema serikali imeendelea kuchapisha zaidi ya hati […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YATAKIWA KUSHUGHULIKIA SWALA LA BARABARA ENEO LA CHEMAKEU
Wakazi wa eneo la Chemakeu katika wadi ya Riwo kaunti hii ya Pokot magharibi wametoa wito kwa serikali ya kaunti kupitia idara ya barabara kukarabati daraja linalounganisha eneo la Chemakeu […]
-
WAFANYIKAZI 70 KAUNTI YA BUNGOMA WAHOJIWA NA EACC KWA MADAI YA UFISADI
Tume ya maadili na kukabili ufisadi eacc imewahoji wafanyikazi 70 wa bunge la kaunti ya bungoma kuhusu ufisadi wa shilingi bilioni 3.2Aidha tume hiyo imewapa majuma mawili kurejesha fedha hizo […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUZIDISHA OPARESHENI YA KIUSALAMA MUKUTANI, BARINGO
Wakazi wa eneo la Mukutani, eneo bunge la baringo kusini kaunti ya baringo wanaitaka serikali kuharakisha oparesheni ya kutwaa silaha haramu na kuwakabili wezi wa mifugo.Mmoja wa wakazi eneo hilo […]
-
MOROTO APONGEZWA KWA UJENZI WA BARABARA ENEO BUNGE LA KAPENGURIA
Mwenyekiti wa mamlaka ya barabara za maeneo ya mashinani KERA eneo bunge la Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Andrew Kodokwang amepongeza kujengwa barabara ya kutoka Limang’ole kupitia Cheptarama hadi […]
-
WAKAZI WA SIGOR WALALAMIKIA KUHANGAISHWA NA MAAFISA WA POLISI
Wakazi wa eneo la Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi hasa wafanyibiashara wamelalamikia kuhangaishwa na maafisa wa polisi wanaodai kuwaitisha hongo hasa siku za soko.Wakiongozwa na aliyekuwa diwani wa wadi […]
-
KFS YASHUTUMIWA KWA UKANDAMIZAJI SABOTI, TRANS NOZIA
Wakazi wa eneo bunge la saboti kaunti ya Trans nzoia wamelalamikia kukandamizwa na uongozi wa shirika la uhifadhi misitu KFS.Wakiongozwa na Luke Naibei wakazi hao wamesema baadhi ya maafisa wa […]
-
JLAC YATAKIWA KUELEZA KUHUSU MISWADA MIWILI TOFAUTI YA BBI
Mbunge wa kiminini kaunti ya Trans nzoia Dkt Chris Wamalwa ametoa wito kwa kamati ya haki na sheria kujitokeza wazi na kuwaeleza wakenya kilichosababisha mikanganyiko katika miswada iliyowasilishwa mbele ya […]
-
ZAIDI YA WATU ALFU 3 WACHANJWA DHIDI YA CORONA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Jumla ya watu alfu 3,269 wamepokea chanjo dhidi ya virusi vya corona kufikia sasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kwa mujibu wa waziri wa afya katika kaunti hii […]
-
MSWADA WA MAREKEBISHO YA KATIBA WAENDELEA KUKOSOLEWA
Hisia mseto zimeendelea kutolewa na viongozi mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi kuhusu hatma ya mswada wa marekebisho ya katiba BBI, wa hivi punde kuzungumzia hilo akiwa mbunge […]
Top News