News
-
OPARESHENI YA KUTWAA SILAHA HARAMU YAANZISHWA AMUDAT
Idadi kubwa ya bunduki zinazoingia katika wilaya ya Amudat hasa eneo la Karamoja mpakani pa kaunti hii ya pokot magharibi na taifa jirani la Uganda zinaingizwa eneo hilo kupitia mipaka […]
-
WAZAZI WALAUMIWA KWA KUKITHIRI MIMBA ZA MAPEMA
Siku chache tu baada ya shirika la AMREF kutoa takwimu zilizoashirika kuwa visa vya mimba za mapema katika kaunti hii ya Pokot magharibi zinazidi viwango vya kitaifa seneta wa kaunti […]
-
AGIZO LA KUTOSAJILI SHULE ZAIDI LASHUTUMIWA NA VIONGOZI POKOT MAGHARIBI
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa nchini kufuatia agizo la wizara ya elimu kwa maafisa wake kutosajili shule zaidi nchini.Mwakilishi wadi ya Batei kaunti hii ya Pokot magharibi Solomon Ang’elei amekosoa agizo […]
-
WASIMAMIZI WA VIJIJI BUNGOMA WATAKA KULIPWA MISHAHARA
Wito umetolewa kwa serikali kuangazia kuanza kuwalipa wasimamizi wa vijiji wanaosema kuwa wamefanya kazi ya kujitolea kwa miaka mingi.Wakiongozwa na mmoja wa wakuu wa vijiji hao Peter Marudi kutoka wadi […]
-
HUENDA MASAIBU YA WALIMU WA KNUT YAKAFIKA KIKOMO KARIBUNI.
Katibu mkuu wa chama cha walimu nchini knut tawi la kaunti ya trans nzoia George Wanjala ameelezea matumani kuwa maslahi ya walimu yatashughulikiwa hasa baada ya uhusiano bora kuanza kushuhudiwa […]
-
WAZAZI WATAKIWA KULIPA KARO YA WANAO
Baadhi ya wakuu wa shule katika kaunti hii ya pokot magharibi wametoa wito kwa wazazi kujikakamua na kulipa karo ya wanao ili kuwezesha kuendeshwa shughuli muhimu katika shule hizo licha […]
-
WALIMU WAONYWA DHIDI YA KUWAZUIA WANAFUNZI WALIOPACHIKWA MIMBA NA KUJIFUNGUA.
Walimu wakuu katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameonywa dhidi ya kuwazuia kurejea shuleni wanafunzi waliopata mimba kipindi walichokuwa nyumbani kufuatia janga la corona na kisha kujifungua.Spika wa bunge la […]
-
WAZAZI WAGHADHABISHWA NA KUTUMWA NYUMBANI WANAFUNZI KWA AJILI YA KARO.
Waziri wa elimu prof. George magoha ametakiwa kuingilia kati na kuwakanya wakuu wa shule dhidi ya kuwarejesha nyumbani wanafunzi kwa ajili ya karo.Baadhi ya wazazi wa kaunti hii ya Pokot […]
-
RAIS ATAKIWA KUANGAZIA SWALA LA UMILIKI WA ARDHI TRANS NZOIA.
Rais Uhuru Kenyatta ametakiwa kusuluhisha maswala ya dhuluma za kihistoria, umiliki wa ardhi na swala la maskwota katika kaunti ya Trans nzoia wakati atakapozuru kaunti hiyo katika ziara yake ya […]
-
VISA VYA KUDUMAA NA UTAPIA MLO VYAPUNGUA POKOT MAGHARIBI.
Visa vya kudumaa katika ukuaji miongoni mwa watoto katika kaunti hii ya Pokot magharibi vimepungua kutoka asilimia 45 mwaka 2014 hadi asilimia 35 kufikia mwaka 2019 kulingana na takwimu za […]
Top News