News
-
‘UDA KINGALI CHAMA TANZU CHA JUBILEE’ ASEMA MOROTO.
Mbunge wa kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amekanusha madai kuwa baadhi ya wendani wa naibu rais William Ruto wanapanga kususia mkutano wa chama cha jubilee unaotarajiwa ili […]
-
UCHACHE WA MVUA WATISHIA USALAMA WA CHAKULA POKOT MAGHARIBI
Wito umetolewa kwa serikali ya kitaifa kupitia wizara ya ugatuzi kuweka mikakati ya kuwasaidia wakazi wa kaunti hii ya pokot magharibi kwa kuleta msaada wa chakula kufuatia tishio la kushuhudiwa […]
-
SERIKALI YA TRANS NZOIA YASHUTUMIWA KWA KUWAHANGAISHA WAFANYIBIASHARA.
Siku moja tu baada ya kushuhudiwa makabiliano baina ya wafanyibiashara na maafisa wa polisi mjini Kitale kaunti ya Trans nzoia, mwakilishi kina mama katika kaunti hiyo Janet Nangabo ameshutumu uongozi […]
-
WAKAZI POKOT YA KATI WALALAMIKIA UHABA WA MAJI
Wakazi wa eneo la masol eneo la Pokot ya kati katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia uhaba wa maji ambapo wanalazimika kutumia bwawa moja la maji pamoja na mifugo […]
-
MPANGO WA KUTOA VISODO KWA WANAFUNZI WAZINDULIWA POKOT MAGHARIBI
Idadi kubwa ya wanafunzi wa kike kaunti hii ya Pokot magharibi hulazimika kusitisha masomo yao kutokana na unyanyapaa unaotokana na hadhi.Akizungumza wakati wa uzinduzi wa zoezi la kutoa visodo kwa […]
-
‘ZIARA YA RAIS RIFT VALLEY ITAKUWA NA UFANISI MKUBWA’ ASEMA MOROTO.
Tofauti baina rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto hazitaathiri kwa vyovyote ziara ya rais inayopangiwa eneo la rift valley ambalo ni ngome yake Ruto.Haya ni kwa mujibu wa […]
-
DKT SAMUEL POGHISIO ATETEA UTENDAKAZI WAKE KAMA SENETA WA POKOT MAGHARIBI
Seneta wa kaunti hii ya pokot magharibi Dkt samuel poghisio ametetea utendakazi wake kama seneta wa kaunti hii tangia alipochaguliwa afisini.Akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa kanisa katoliki eneo la […]
-
SERIKALI KUU YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA KATIKA MIPAKA YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Serikali imetakiwa kuweka mikakati ya kuimarisha usalama katika mipaka ya kaunti hii ya Pokot Magharibi na kaunti jirani hasa Baringo, Turkana na Elgeyo Marakwet.Wakiongozwa na Lomer Japheth, wakazi katika kaunti […]
-
‘MCHAKATO WA KUIFANYIA KATIBA MAREKEBISHO KUREJELEWA’ ASEMA SENETA WA BARINGO GIDEON MOI
Seneta wa kaunti ya Baringo Gideon Moi ameelezea imani kwamba majaji saba wa mahakama ya rufaa walioskiza kesi za kupinga kuharamishwa kwa mchakato wa BBI watabatilisha uamuzi uliotolewa na majaji […]
-
WIZI WA PIKIPIKI WAKITHIRI POKOT MAGHARIBI
Wahudumu boda boda katika kaunti hii ya pokot magharibi wameendelea kulalamikia ongezeko la wizi wa pikipiki. Kilio cha wanaboda boda hao kinajiri baada ya pikipiki moja kuibiwa eneo la Maili […]
Top News