News
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAIMARISHA JUHUDI ZA KUKABILI MALARIA.
Serikali ya kaunti hii ya pokot magharibi kupitia wizara ya afya inatarajiwa kusambaza neti kwa wakazi ambao walijisajili katika juhudi za kukabali kusambaa ugonjwa wa malaria hasa msimu huu wa […]
-
MIITO YA KUPATANA RAIS KENYATTA NA NAIBU WAKE YAZIDI KUTOLEWA.
Tangazo la baraza la maaskofu kwamba liko tayari kuwapatanisha rais uhuru kenyata na naibu wake Wiliam Ruto limetajwa kuwa lenye umuhimu mkubwa katika kuleta umoja amani na utangamano wa taifa.Mshirikishi […]
-
WAKAZI WA SALAMA ENDEBES WAPOKEZWA HATI MILIKI.
Zaidi ya wanachama mia tatu kutoka shamba la salama eneo bunge la Endebes kaunti ya Trans nzoia wamepata hati miliki ya ardhi kupitia kwa serikali kuu kwenye shamba la ekari […]
-
SERIKALI YA TRANS NZOIA YAWEKA MIKAKATI YA KUKABILI MABADILIKO YA TABIA NCHI.
Wizara ya maji mazingira na mali asili katika kaunti ya Trans Nzoia imetenga bajeti ya shilingi Milioni 20 kwa upanzi wa miti na utunzaji wa mazingira kama njia moja ya […]
-
WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUKUMBATIA MTAALA WA CBC.
Wadau wa elimu katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kuwahimiza wananchi kukumbatia mtaala mpya wa elimu CBC ambao wameutaja kuwa na manufaa makubwa kwani unaangazia maswala mengi na yenye […]
-
BAADHI YA VIONGOZI TRANS NZOIA WAPUUZA MIITO YA KUPATANISHWA RAIS NA NAIBU WAKE.
Hisia mseto zimeendelea kuibuka nchini kufuatia tangazo la baraza la maaskofu wa kanisa katoliki kuwa lipo tayari kuwaunganisha rais Uhuru kenyatta na naibu wake William Ruto.Wa hivi punde kuzungumzia swala […]
-
DEMOKRASIA VYAMANI YATILIWA SHAKA.
Ni hatua chache mno zimepigwa ili kuafikiwa kwa demokrasia katika vyama vya kisiasa humu nchini.Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa shirika la Haki na Amani Justice and Peace […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUIMARISHA MIUNDO MSINGI ALALE POKOT MAGHARIBI.
Viongozi eneo bunge la kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuangazia kikamilifu changamoto ambazo zinawakumba wakazi hasa katika eneo la Akoret wadi ya alale.Wakiongozwa na Emmanuel Napareng wakazi hao […]
-
‘HATUNA HOFU NA USALAMA WA CHAKULA POKOT MAGHARIBI’ YASEMA NDMA.
Mamlaka ya kushughulikia majanga NDMA kuanti hii ya pokot magharibi imeendeleza vikao vya kuangazia hali ya chakula katika kaunti hii ya pokot magharibi na kubaini maeneo ambayo yatahitaji misaada kutokana […]
-
WAUZAJI POMBE HARAMU TRANS NZOIA WAONYWA.
Idara ya uisaloama kaunti ya Trans nzoia kwa ushirikiano na kamati ya kutoa leseni kwa wauzaji wa vileo wameanzisha mikakati ya kukabiliana na watu wanaoingiza pombe haramu kutoka taifa jirani […]
Top News










