News
-
MAGOHA ASHUTUMIWA KWA AGIZO LA KUWATUMA NYUMBANI WANAFUNZI.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa kufuatia hatua ya waziri wa elimu profesa George Magoha kuwaagiza walimu wakuu kuhakikisha kuwa wazazi wanalipa karo kwa kuwatuma nyumbani wanafunzi ambao hawajakamilisha karo.Wakiongozwa na Henry […]
-
WAZAZI WA SHULE YA UPILI YA ST COMBONI WATAKIWA KUWAREJESHA WANAO SHULENI.
Wazazi wa wanafunzi wa shule ya upili ya wavulana ya St Comboni eneo la Alale kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuhakikisha kuwa wanao wanarejea shuleni baada ya kukamilika likizo […]
-
HOSPITALI YA KACHELIBA YAKANUSHA MADAI YA KUTOKUWEPO DAWA ZA KUTOSHA.
Uongozi wa hospitali ya level four ya Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi umekanusha madai ya kuwepo ukosefu wa dawa katika hospitali hiyo.Akizungumza afisini mwake, msimamizi mkuu wa hospitali hiyo […]
-
VIJANA BUNGOMA WAHIMIZWA KUWATUNZA WAZAZI WAO.
Vijana katika kaunti ya Bungoma wamehimizwa kutowatelekeza wazazi wao hasa katika umri wao wa uzeeni na badala yake kuchukua majukumu ya kuwatunza.Wakizungumza katika wadi ya Matulo eneo bunge la Webuye […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAONYWA DHIDI YA KUINGIZA SIASA SHULENI.
Wito umetolewa kwa viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi kukoma kutumia raslimali za shule kuendeleza shughuli zao za kisiasa.Akirejelea hafla iliyoandaliwa katika shule ya upili ya Kiwawa […]
-
TSC YATAKIWA KUAJIRI WALIMU ZAIDI KWA SHULE ZA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Tume ya huduma kwa walimu TSC imetakiwa kuhakikisha walimu zaidi wanatumwa katika shule za kaunti hii ili kuiwezesha kuwa katika nafasi bora ya kutoa ushindani unaostahili na kuwa sawa na […]
-
WADAU WAPONGEZA HATUA YA KUDHINISHWA MJI WA KIMILILI KUWA MANISPAA.
Meneja wa manispaa ya mji wa Kimilili katika kaunti ya Bungoma John Ndombi amepongeza hatua ya mji huo kuidhinishwa katika gazeti rasmi la serikali kuwa manispaa.Akizungumza afisini mwake Ndombi amesema […]
-
KHAEMBA ALAUMIWA KWA UTENDAKAZI DUNI TRANS NZOIA.
Viongozi kutoka kaunti ya Trans-nzoia wamelalamikia utenda kazi duni wa serikali ya kaunti hiyo kwa kile wamesema imekosa kuwajibikia wenyeji.Wakiongozwa na mbunge wa endebess Dkt Robert Pukose viongozi hao wametaka […]
-
WAKAAZI WA TUWANI TRANS NZOIA WAPOKEA MWANGAZA BAADA YA KUKAA GIZANI KWA MDA
Wakaazi wa mtaa wa mabanda wa Tuwani kwenye kaunti ya Trans Nzoia sasa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali kuekeza katika taa za usalama za usiku, baada ya […]
-
WAKENYA WASHAURIWA KUENDELEA KUPOKEA CHANJO YA COVID 19
Wito umetolewa kwa wakenya kuhakikishwa wanachanjwa dhidi ya virusi vya corona ambavyo vinaendelea kutikisa taifa hiliNi wito ambao umetolewa na mbunge wa Soy katika kaunti ya Uasin Gishu Caleb Kositany, […]
Top News