News
-
MSHUKIWA WA MAUAJI AJIWASILISHA KITUO CHA POLISI KAPENGURIA.
Maafisa wa upelelezi katika kituo cha polisi cha kapenguria kaunti hii ya pokot magharibi wanatarajiwa kumfungulia mashtaka ya mauaji jamaa mmoja ambaye amejiwasilisha jana katika kituo hicho akidai kumuua mpenziwe.Inaarifiwa […]
-
UKEKETAJI WAPUNGUA SIGOR
Visa vya ukeketaji wa watoto wa kike eneo la Sigor kaunti hii ya Pokot magharibi vimepungua pakubwa hali ambayo imechangiwa na uhamasisho dhidi ya tamaduni hiyo ambayo inatolewa katika shule […]
-
MASKWOTA CHEPCHOINA WATAKA MAKAO YA KUDUMU.
Maskwota wanaoishi kwenye ardhi yenye utata ya Chepchoina katika kaunti ya Trans nzoia wamemwomba rais Uhuru Kenyatta kuwapa makao ya kudumu kabla ya kukamilika muhula wake mwaka ujao.Maskwota hao wengi […]
-
MAFUNZO KUHUSU LISHE BORA YAZINDULIWA POKOT MAGHARIBI.
Shirika la kushughulikia maswala ya watoto UNICEF limezindua rasmi mpango wa kutoa mafunzo kwa kina mama kuhusu lishe bora kwa jina NICHE ili kuzuia visa vya kudumaa miongoni mwa watoto […]
-
PENDEKEZO LA KUPATANISHWA RAIS NA NAIBU WAKE LAZIDI KUIBUA HISIA.
Viongozi mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameunga mkono pendekezo la baraza la maaskofu kupewa fursa ya kuwapatanisha rais uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto.Wakiongozwa na mbunge […]
-
SHUGHULI ZA MATIBABU ZATATIZIKA KACHELIBA KUFUATIA UKOSEFU WA UMEME.
Uongozi wa hospitali ya Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi umelalamikia kukatizwa huduma za umeme katika hospitali hiyo kwa muda sasa.Msimamizi mkuu wa hospitali hiyo Solomon Tukei amesema kuwa […]
-
SHINIKIZO ZATOLEWA KWA WAKUU WA USALAMA KUMCHUKULIA HATUA POLISI ALIYEMJERUHI ALIYEKUWA DIWANI TRANS NZOIA.
Shinikizo zimeendelea kutolewa kwa waziri wa maswala ya ndani ya nchi dkt Fred Matiangi, inspekta mkuu wa polisi Hillary Mutiambai na mamlaka ya kutathmini utendakazi wa polisi IPOA kumtia mbaroni […]
-
POGHISIO AKOSOA MPANGO WA KUWAHAMISHA WALIMU WAKUU.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amelalamikia kudorora viwango vya elimu kutokana na kile amedai kutolewa walimu wa kaunti hii katika mpango wa kuwahamisha walimu kufunza katika […]
-
VIJANA WATAKIWA KUZINGATIA AMANI MBELE YA UCHAGUZI MKUU UJAO.
Spika wa bunge la Kaunti ya Pokot Magharibi Catherine Mukenyang’ ametoa wito kwa vijana na jamii ya kalenjin kutoka eneo la Rift valley kufanya siasa za amani wakati huu taifa […]
-
CHANJO YA KUZUIA KICHAA CHA MBWA YAZINDULIWA POKOT MAGHARIBI.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi walio na mbwa pamoja na paka wametakiwa kuwaleta ili wapokee chanjo dhidi ya ugoinjwa wa kichaa cha mbwa.Akizungumza baada ya kuzindua zoezi hilo […]
Top News










