News
-
VIONGOZI WATAKIWA KUTOTUMIA MIRADI YA SERIKALI KUJITAFUTIA UMAARUFU.
Baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameshutumiwa vikali kwa kutumia miradi mbali mbali kujitafutia umaarufu pamoja na kujipigia debe miongoni mwa wakazi mbele ya uchaguzi mkuu wa […]
-
ZIARA YA RAIS MAGHARIBI YA NCHI YAIBUA MATARAJIO MAKUU
Wakazi wa kaunti ya Trans nzoia wameelezea matumaini kuwa rais Uhuru Kenyatta atatenga muda wa kuzuru kaunti hiyo hata baada ya kuahirishwa ziara yake eneo la magharibi.Kulingana na mwenyekiti wa […]
-
WAHISANI ZAIDI WA SEKTA YA KILIMO WATAKIWA KUJITOKEZA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI.
Waziri wa kilimo na mifugo katika kaunti hii ya Pokot magharibi Geofrey Lipale amewapongeza wahisani ambao wamejitokeza katika kaunti hii kupiga jeki juhudi za wakulima hasa kupitia shughuli ya kutoa […]
-
VIONGOZI WA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUSHIRIKIANA ILI KUAFIKA MAENDELEO.
Wito umetolewa kwa viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi kuja pamoja na kushirikiana ili kuafikia maendeleo na kuimarisha uchumi wa kaunti hii.Ni wito wake mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA MIPAKANI PA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.
Serikali imetakiwa kuweka mikakati ya kuhakikisha usalama unaafikiwa maeneo ya mpakani pa kaunti hii ya pokot magharibi na kauntijirani ya Elgeyo marakwet ili kuruhusu kurejelewa shughuli za masomo maeneo hayo.Seneta […]
-
‘WEZI WA MAJI’ WAKAMATWA TRANS NZOIA.
Washukiwa kumi na sita akiwemo mshukiwa mkuu anayeunganisha maji kinyume cha sheria katika kaunti ya transnzoia wamekamatwa ikisemekana kwamba ni mafundi wa kibinafsi wanaolaumiwa kutokana na ongezeko la visa vya […]
-
KONTENA ZA BIASHARA MAKUTANO ZAELEKEA KUKAMILIKA.
Matayarisho ya kontena za kufanyia biashara mjini makutano katika kaunti hii ya Pokot magharibi yanaelekea kukamilika .Haya ni kwa mujibu wa afisa katika wizara ya biashara kaunti hii Lucy Lipale […]
-
UKEKETAJI NA NDOA ZA MAPEMA ZASALIA KIZUNGUMKUTI POKOT MAGHARIBI.
Licha ya juhudi za kukabili visa vya ukeketaji na ndoa za mapema katika kaunti hii ya Pokot magharibi imebainika visa hivi vingali kero miongoni mwa jamii.Hii ni baada msichana mmoja […]
-
SEKTA YA BODABODA YAPUNGUZIWA USHURU POKOT MAGHARIBI.
Wahudumu wa boda boda katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamepata afueni baada ya serikali ya kaunti kuwapunguzia ushuru wanaolipa kutoka shilingi 300 hadi shilingi 200.Akitoa tangazo hilo gavana John […]
-
WAKUU WA SHULE TRANS NZOIA WASHUTUMIWA KWA KUPANDISHA VIWANGO VYA KARO.
Viongozi kutoka Kaunti ya Trans-Nzoia wamelalamikia hatua ya walimu wakuu kwenye shule mbalimbali Kaunti hiyo kuitisha karo ya juu na mallipo mengine ya ziada kwa wazazi wanapowapeleka wanao kujiunga na […]
Top News