News
-
SHINIKIZO ZATOLEWA KWA WAKUU WA USALAMA KUMCHUKULIA HATUA POLISI ALIYEMJERUHI ALIYEKUWA DIWANI TRANS NZOIA.
Shinikizo zimeendelea kutolewa kwa waziri wa maswala ya ndani ya nchi dkt Fred Matiangi, inspekta mkuu wa polisi Hillary Mutiambai na mamlaka ya kutathmini utendakazi wa polisi IPOA kumtia mbaroni […]
-
POGHISIO AKOSOA MPANGO WA KUWAHAMISHA WALIMU WAKUU.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amelalamikia kudorora viwango vya elimu kutokana na kile amedai kutolewa walimu wa kaunti hii katika mpango wa kuwahamisha walimu kufunza katika […]
-
VIJANA WATAKIWA KUZINGATIA AMANI MBELE YA UCHAGUZI MKUU UJAO.
Spika wa bunge la Kaunti ya Pokot Magharibi Catherine Mukenyang’ ametoa wito kwa vijana na jamii ya kalenjin kutoka eneo la Rift valley kufanya siasa za amani wakati huu taifa […]
-
CHANJO YA KUZUIA KICHAA CHA MBWA YAZINDULIWA POKOT MAGHARIBI.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi walio na mbwa pamoja na paka wametakiwa kuwaleta ili wapokee chanjo dhidi ya ugoinjwa wa kichaa cha mbwa.Akizungumza baada ya kuzindua zoezi hilo […]
-
MIKAKATI YAWEKWA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII TRANS NZOIA.
Waziri wa Michezo,vijana, utalii na Utamaduni Kaunti ya Trans Nzoia Aggery Chemonges amekariri kuwa wizara yake itashirikisha washikadau wote kutoka maeneo yenye vivutio vya kitalii kama njia moja ya kukuza […]
-
SIASA ZA MAZISHINI ZAPIGWA MARUFUKU POKOT MAGHARIBI.
Gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi Prof John Longanyangápuo amepiga marufuku siasa katika hafla za mazishi katika Kaunti hii akitaka wanasiasa kuheshimu familia za waliofiwa.Akihutubu kwenye hafla ya mazishi ya […]
-
WAGOMBEA VITI VYA KISIASA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUJITOKEZA WAZIWAZI.
Baadhi ya wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wamewataka viongozi wote ambao wanaazimia kuwania kiti cha useneta kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao kujitokeza na kutangaza wazi azma yao […]
-
MIMBA NA NDOA ZA MAPEMA ZASALIA CHANGAMOTO SIGOR.
Swala la mimba pamoja na ndoa za mapema miongoni mwa wanafunzi limeendelea kuwa changamoto kwa elimu ya mtoto wa kike katika shule za eneo la sigor Pokot ya kati katika […]
-
SENETI YALAUMIWA KWA MAPUUZA YA KETER NA MUNYES.
Mbunge wa Endebes kaunti ya Trans nzoia Robert Pukose amelaumu bunge la seneti kutokana na hatua ya mawaziri chales Keter wa kawi na mwenzake wa petroli na uchimbaji madini John […]
-
WITO WA KUUNGANISHWA RAIS NA NAIBU WAKE WAENDELEA KUUNGWA MKONO.
Baadhi ya viongozi wa kisiasa nchini wameendelea kuunga mkono pendekezo la baraza la maaskofu nchini kupewa fursa ya kuwaunganisha rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto.Akizungumza katika kanisa la […]
Top News