IDARA YA UPELELEZI YAOMBWA KUCHUNGUZA MADAI YA UFISADI TRANSNZOIA


Na Benson Aswani
Baadhi ya Wakongwe Trans nzoia wanalalamikia kutolewa kwa sajili ya kupata Fedha za wazee kwa dai la kuwa wameaga dunia wakidai kuwepo ufisadi katika afisi za utoaji wa huduma hizo.
Mmoja wa wakongwe hao Elizabeth Kemunto ni kuwa kwa muda wa miaka minee wamekosa fedha hizo wakishanga ni kwa nini.
Weneyeji wakiewemo waliokuwa Maafisa wa serikali wanataka kugatuliwa kwa shughuli hizo kubaini uhalisia wa orodha inayotolewa wakidai shughuli hio huenda imeigiliwa na walaghai.