News
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUWA MAKINI MSIMU HUU WA KRISMASI.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa makini zaidi barabarani wakati wanaposafiri kuungana na jamaa zao msimu huu pamoja na kuhakikisha kuwa wanadumisha amani.Akiwatakia wakazi wa kaunti hii […]
-
VIJANA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI.
Wito umetolewa kwa vijana katika kaunti hii ya Pokot magharibi kudumisha amani msimu huu wa sherehe za krismasi na mwaka mpya na kutojihusisha na maswala ambayo huenda yakasababisha utovu wa […]
-
WAKAZI MIPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET WASHINIKIZA MIRADI YA MAENDELEO ILI KUKABILI TATIZO LA UTOVU WA USALAMA.
Uzinduzi wa miradi kama vile barabara utasaidia pakubwa katika kukabili utovu wa usalama ambao unashuhudiwa mara kwa mara mipakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jiarani ya Elgeyo […]
-
WAZEE WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA VITENGO VYA USALAMA KUKABILI UHALIFU KERIO VALLEY.
Mshirikishi wa serikali katika bonde la ufa George Natembeya amewataka wazee kutoka kaunti ya Baringo, Elgeiyo marakwet, na Pokot magharibi kushirikiana na maafisa wa polisi na machifu ili kukabili utovu […]
-
SERIKALI YAENDELEA KUWEKA MIKAKATI MKUKABILI UKAME.
Serikali imeendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha kuwa wakazi wa maeneo yaliyoathiriwa na ukame wanapata msaada unaohitajika.Akizungumza na kituo hiki katibu katika wizara ya hudumna za umma, jinsia na mipango maalum […]
-
WAKAZI TRANS NZOIA WATAHADHARISHWA KUHUSU MATAPELI MSIMU HUU.
Kufuatia ongezeko la wizi wa mitandao Cyber Crime msimu huu wa krismasi na mwaka mpya, wito umetolewa kwa umma kuwa wangaalifu na kujiepusha na watu wanaowapigia simu kwa madai ya […]
-
WAKAZI WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKABILI AJALI ZA BARABARANI TRANS NZOIA.
Wakazi wa kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kushirikiana na idara ya trafiki katika kukabili visa vya ajali za barabarani hasa msimu huu wa sherehe za krismasi na mwaka mpya.Ni wito […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUCHANGIA NIDHAMU MIONGONI MWA WANAFUNZI.
Wazazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kushirikiana na walimu katika kuhakikisha nidhamu miongoni mwa wanafunzi.Mkuu wa elimu eneo la bonde la ufa Jared Obiero amesema kuwa wazazi ndio […]
-
UTEPETEVU MIONGONI MWA IDARA ZA USALAMA WATAJWA KUCHANGIA UTOVU WA USALAMA MIPAKANI MWA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.
Utovu wa usalama katika mipaka ya kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet umechangiwa pakubwa na utepetevu miongoni mwa wakuu wa usalama serikalini.Haya ni kwa mujibu […]
-
VIONGOZI BARINGO WATAKA USALAMA KUIMARISHWA ENEO HILO.
Viongozi kwenye kaunti ya Baringo wanaitaka serikali ya kitaifa kuimarisha usalama kwenye maeneo ambayo yamekuwa yakishuhudia utovu wa usalama katika siku za hivi karibuni.Wakiongozwa na mwakilishi akina mama Gladwel Cheruiyot, […]
Top News










