News
-
CHAMA CHA UDA POKOT MAGHARIBI CHAIBUA MADAI YA KUTUMIKA FEDHA KUVURUGA MIPANGO YAKE.
Viongozi wa kisiasa ambao ni wandani wa naibu rais William Ruto katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kukashifu kile wamedai kuwa baadhi ya viongozi katika kaunti hii wanatumia vijana […]
-
RAIS ATAKIWA KUZURU BONDE LA KERIO KUANGAZIA SWALA LA USALAMA.
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Elgeyo marakwet wamemtaka rais Uhuru Kenyatta kuzuru bonde la kerio ili kuweka mikakati thabiti itakayosaidia katika kutatua utovu wa usalama katika kaunti hiyo.Wakiongozwa na […]
-
KAMANDA ATAKIWA KUELEZEA ANACHOFAHAMU KUHUSU KUVURUGWA MIKUTANO YA RUTO.
Tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano wa kitaifa NCIC pamoja na idara ya upelelezi DCI zimetakiwa kumwagiza mbunge maalum Maina Kamanda kurekodi taarifa kuelezea anachofahamu kuhusu madai aliyoibua kuwa […]
-
WAKUU WA SHULE WAONYWA DHIDI YA KUWATUMA NYUMBANI WANAFUNZI KIHOLELA.
Wakuu wa shule katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa na uvumilivu na kutowatuma nyumbani kila mara wanafunzi kutafuta karo.Ni wito wake mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto ambaye amewataka […]
-
IDARA YA USALAMA POKOT MAGHARIBI YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA WA SEKTA YA BODA BODA.
Wito umetolewa kwa sekta ya boda boda hasa maeneo ya Chepareria na Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi kuwa na mipangilio madhubuti ambayo itazuia mianya ya wezi wa pikipiki kuendeleza […]
-
WAFUASI WA DAP-K TRANS NZOIA WATAKA WASHINIKIZA UWAZI KATIKA ZOEZI LA UTEUZI.
Wafuasi na wawaniaji wa chama cha Democratic Action Party of Kenya (DAP-K) Kaunti ya Trans Nzoia wamewarai viongozi wa chama hicho kuhakikisha kwamba shughuli ya mchujo katika chama hicho inaendeshwa […]
-
SERIKALI YA BARINGO YAENDELEZA UTATHMINI WA ATHARI ZA UVAMIZI WA WEZI WA MIFUGO.
Maafisa wa idara ya dharura katika kaunti ya Baringo, wenzao kutoka shirika la msalaba mwekundi pamoja na wale kutoka mamlaka ya kitaifa ya kukabiliana na majanga NDMA wanazuru wadi ya […]
-
KANISA LA ACK KAPENGURIA LAPATA DAYOSISI MPYA HUKU MIZOZO YA MUDA IKITARAJIWA KUFIKA KIKOMO.
Huenda migogoro ambayo imekuwa ikishuhudiwa katika kanisa la kianglikana dayosisi ya kaunti hii ya pokot magharibi ikafika mwisho.Haya ni kulingana na seneta wa kaunti hii ya pokot magharibi Samwel Poghisio […]
-
AFISA WA POLISI AZUILIWA KAPENGURIA KWA TUHUMA ZA KUJARIBU KUMBAKA MWANAFUNZI.
Afisa mmoja wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Kabichbich kaunti hii ya Pokot magharibi anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kapenguria kwa tuhuma za kujaribu kumbaka mwanafunzi wa darasa […]
-
WANAOPACHIKA MIMBA WANAFUNZI KIPKOMO WAONYWA.
Onyo kali imetolewa kwa watu wenye hulka ya kuwapachika mimba wanafunzi kuwa vitengfo vya usalama viko macho na atakayepatikana hatia ya kutekeleza uovu huo atakabiliwa vikali kulingana na sheria.Mkurugenzi wa […]
Top News










