News
-
UONGOZI WA GAVANA LONYANGAPUO WAKOSOLEWA NA ALIYEKUWA GAVANA WA KWANZA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Uongozi wa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo umeendelea kutiwa kwenye mizani na wapinzani wake katika uchaguzi mkuu wa mwezi agosti mwaka huu.Aliyekuwa gavana wa kaunti hii […]
-
RAIS UHURU KENYATA AKASHIFIWA KWA KUINGILIA MAKANISA
Baadhi ya viongozi kutoka trans nzoia wamekashifu hatua ya raisi kuingilia inavyoendeshwa shughuli za kidini wakidai ni kinyume cha sheria.Wakirejelea matamshi ya hivi majuzi ya raisi,viongozi hao wakiongozwa na mbunge […]
-
MWANIAJI WA UBUNGE KAUNTI YA TRANSNZOIA AKIVUNJA KIMYA CHAKE
Mwaniaji wa ubunge kwenye eneo la kiminini kaunti ya Transnzoia Kakai Bisau ambaye alikuwa mshauri wa Teknolojia na miundo msingi katika ofisi ya Naibu wa rais wiliam ruto amekivunja kimya […]
-
RAMANI YA MAHAKAMA KUU YA KAPENGURIA YATAJWA KUWA BORA.
Msajili mkuu wa mahakama humu nchini, hakimu Ann Amadi, ameisifia ramani ya ujenzi wa mahakama kuu ya Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi kwa kuwa na vitengo tofauti ambavyo vitashughulikia […]
-
MAANDALIZI YA MITIHANI YA KITAIFA YAKAMILIKA POKOT MAGHARIBI.
Wito umetolewa kwa wasimamizi wa vituo mbali mbali vya mitihani katika kaunti hii ya Pokot magharibi kuwa makini na kutoruhusu hali yoyote isiyo ya kawaida ikiwemo udanganyifu kushuhudiwa wakati wa […]
-
KVDA YALENGA KUIMARISHA UZALISHAJI WA ASALI KERIO VALLEY.
Mamlaka ya ustawishaji wa maendeleo kwenye bonde la kerio KVDA inashirikiana na idara ya mifugo katika wizara ya kilimo kuimarisha uzalishaji wa asali humu nchini.Kwa mujibu wa meneja mkurugenzi wa […]
-
KENYA SEED YAHAKIKISHIA WATEJA WAKE MBEGU ZA KUTOSHA MSIMU WA UPANZI.
Huku msimu wa upanzi ukitazamiwa kuanza maeneo mbalimbali humu nchini Kampuni ya uzalishaji mbegu nchini Kenya Seed imewahakikishia wakulima kuwa kuna mbegu za kutosha kwa mahitaji ya wakulima humu nchini […]
-
‘CHAMA CHA KANU KINGALI IMARA POKOT MAGHARIBI’ ASEMA POGHISIO.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amesema kuwa chama cha KANU katika kaunti hii sasa kitaimarika zaidi baada ya kuondoka baadhi ya wanachama anaodai kuwa walikuwa wakivuruga […]
-
KNUT CHATISHIA KUSITISHA SHUGHULI ZA ELIMU BONDE LA KERIO.
Viongozi wa chama cha kitaifa cha walimu KNUT na chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET kwenye eno la kaskazini mwa bonde la ufa , […]
-
WITO UMETOLEWA KWA WANASIASA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUTOINGIZA SIASA KATIKA MASUALA YA CHAKULA.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amemshutumu gavana johna lonyangapuo kwa kile amedai kutumia msaada wa chakula ambao unatolewa na serikali kwa kaunti zinazokabliwa na ukame kuendeleza […]
Top News










