MWANIAJI WA UBUNGE KAUNTI YA TRANSNZOIA AKIVUNJA KIMYA CHAKE


Mwaniaji wa ubunge kwenye eneo la kiminini kaunti ya Transnzoia Kakai Bisau ambaye alikuwa mshauri wa Teknolojia na miundo msingi katika ofisi ya Naibu wa rais wiliam ruto amekivunja kimya chake na kueleza kilichomfanya kukigura chama cha uda na kujiunga na chama dap Kenya
Bisau amesema licha kujitolea kuwarai wanachama kujiunga na uda ukosefu wa uaminifu ulisheheni na kumlazimu kuacha azima yake ya kuwania ugavana transnzoia kupitia chama cha uda
Amewaahidi wakaazi wa kiminini uongozi bora na maendeleo endapo atachaguliwa kuwa mbunge wao.