RAIS UHURU KENYATA AKASHIFIWA KWA KUINGILIA MAKANISA


Baadhi ya viongozi kutoka trans nzoia wamekashifu hatua ya raisi kuingilia inavyoendeshwa shughuli za kidini wakidai ni kinyume cha sheria.
Wakirejelea matamshi ya hivi majuzi ya raisi,viongozi hao wakiongozwa na mbunge wa kiminini chris wamalwa wanadai baadhi za semi heunda zikayubisha yalioafikiwa kidemocrasia na kutaka serikali kuu kutoingilia makundi ya kidini.
Wamalwa anataka makundi hao pia kutoa mwelekeo kwa wafuasia wao kuhisiana na masuala ya kisiasa akidai yananafasi kubwa kwenye siasa la taifa hili.