News
-
WADAU POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA VIWANGO VYA ELIMU.
Ipo haja ya wadau katika sekta ya elimu kaunti hii ya Pokot magharibi kuweka mikakati ya jinsi ya kuimarisha matokeo katika mitihani ya kitaifa kwenye kaunti hii.Akizungumza katika hafla ya […]
-
ODM TRANS NZOIA YAAPA KUSHINDA VITI VINGI VINGI.
Wafuasi wa chama cha ODM Kaunti ya Trans Nzoia wakiongozwa na Moses Masinde wamesema wako tayari kushinda viti vingi kwenye uchaguzi mkuu ujao.Akiongea na wanahabari mjini Kitale baada ya kupokea […]
-
WAKAZI LOMUT POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA MAKALI YA NJAA.
Wakazi wa eneo la Lomut katika kaunti hii ya Pokot magharibi hasa walioyahama makwao kutokana na ukosefu wa usalama eneo la chesogon mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na […]
-
SAFARI LINK YAREJELEA SAFARI ZA NDEGE KATIKA UWANJA WA NDEGE KITALE.
Shirika la safari za Ndege Safari link, limezindua safari zake katika uwanja wa ndege wa Kitale baada ya miaka miwili ya kukatizwa kwa safari hizo kutokana na ukarabati wa uwanja […]
-
JAMII YA SABAOT TRANS NZOIA YAJITENGA NA MATAMSHI YA UCHOCHEZI YA KIONGOZI MMOJA KUTOKA JAMII HIYO.
Jamii ya Sabaot Kaunti ya Trans Nzoia ikiongozwa na Francis Muneria Chemonges imejitenga na matamshi ya uchochezi yanayodaiwa kutolewa na Mwakilishi Wadi mteule katika Wadi ya Machewa hivi majuzi huku […]
-
VIONGOZI WA KIKE POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA KUTENGWA KISIASA.
Viongozi wanawake katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia kile wametaja kuendelea kutengwa licha ya kuwa wanapasa kuwa na viti zaidi katika chaguzi za humu nchini.Wakiongozwa na mwenyekiti wa mtandao […]
-
BUNGE LA KAUNTI POKOT MAGHARIBI LAOMBOLEZA KIFO CHA KIONGOZI WA WENGI.
Bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi limemwomboleza aliyekuwa kiongozi wa wengi katika bunge hilo Thomas Ng’olesia.Akituma risala za rambi rambi kwa niaba ya bunge hilo, Spika Catherine Mukenyanga amemtaja […]
-
WAKULIMA TRANS NZOIA WATAKIWA KUWA MACHO KUHUSIANA NA UVAMIZI WA VIWAVI JESHI.
ya kilimo katika kaunti ya Trans nzoia imeonya kuhusu uwepo wa viwavi jeshi katika baadhi ya maeneo na kuwataka wakulima kuhakikisha wanaripoti visa hivyo mapema endapo vitatokea.Waziri wa kiliimo kaunti […]
-
MCHUJO WA UDA WAZIDISHA MACHOZI ELGEYO MARAKWET.
Aliyekuwa inspekta mkuu wa polisi Joseph Boinett amejitokeza na kupinga matokeo ya mchujo wa chama cha UDA katika kinyang’anyiro cha ugavana kaunti ya Elgeyo marakwet akidai matokeo yalikarabatiwa kumpendelea naibu […]
-
KIONGOZI WA WENGI KATIKA BUNGE LA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI AFARIKI DUNIA AKIPOKEA MATIBABU MJINI ELDORET
Huzuni imetanda miongoni mwa wakazi wa Kaunti ya Pokot Magharibi hasa wakazi wa Wadi ya Sekerr kufuatia kifo cha ghafla Cha Mwakilishiwadi wao ambaye pia amekuwa ndiye Kiongozi wa wengi […]
Top News










