News
-
WAGOMBEA WA UDA POKOT MAGHARIBI WAKABIDHIWA TIKETI.
Wagombea viti mbali mbali vya kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kujipigia debe kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi agosti mwaka huu.Wakizungumza katika makao makuu ya chama cha UDA […]
-
KACHAPIN AMSUTA LONGAPUO KWA KUHUJUMU MIRADI ALIYOANZISHA POKOT MAGHARIBI.
Mgombea ugavana katika kaunti hii ya Pokot magharibi kwa tiketi ya chama cha UDA Simon Kachapin ameendelea kuelezea sababu za kutaka kupewa fursa nyingine kuongoza kaunti hii katika uchaguzi mkuu […]
-
WANASIASA WAONYWA DHIDI YA SEMI ZA CHUKI TRANS NZOIA.
Mikakati mwafaka imewekwa kuhakikisha kuwa amani inadumishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwezi agosti mwaka huu.Haya ni kulingana na kamshina wa kaunti ya Trans nzoia Sam Ojwang ambaye amesema kuwa […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATISHIA KUISHITAKI UINGEREZA KUFUATIA DHULUMA DHIDI YA WAKAZI ENZI ZA UKOLONI.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametishia kuishitaki serikali ya uingereza kwenye mahakama ya kimataifa kufuatia dhuluma zilizoendelezwa na serikali hiyo kwa jamii ya Pokot wakati wa vita vya […]
-
WANASIASA WAONYWA DHIDI YA KUWATISHIA WALIMU POKOT MAGHARIBI.
Katibu mkuu wa chama cha walimu nchini Knut tawi la Pokot magharibi Martine Sembelo ameonya vikali dhidi ya kutishiwa walimu kwa lengo la kuwataka kuunga mkono wanasiasa fulani katika uchaguzi […]
-
KHAEMBA ALAUMIWA KWA KUTOFANIKISHA MAENDELEO TRANS NZOIA.
Spika wa bunge la kaunti ya Trans nzoia Joshua Werunga amemlaumu gavana wa kaunti hiyo Patrick Khaemba kwa kutofanikisha miradi ya maendeleo licha ya serikali ya kaunti hiyo kutengewa mgao […]
-
VIONGOZI WAENDELEA KUMWOMBOLEZA RAIS MUSTAAFU MWAI KIBAKI.
Viongozi mbali mbali nchini wameendelea kumwomboleza rais mustaafu Mwai Kibaki wakimtaja kuwa kiongozi ambaye alipelekea pakubwa kuimarika uchumi wa taifa hili katika utawala wake wa miaka 10.Wa hivi punde kumwomboleza […]
-
WADAU POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA VIWANGO VYA ELIMU.
Ipo haja ya wadau katika sekta ya elimu kaunti hii ya Pokot magharibi kuweka mikakati ya jinsi ya kuimarisha matokeo katika mitihani ya kitaifa kwenye kaunti hii.Akizungumza katika hafla ya […]
-
ODM TRANS NZOIA YAAPA KUSHINDA VITI VINGI VINGI.
Wafuasi wa chama cha ODM Kaunti ya Trans Nzoia wakiongozwa na Moses Masinde wamesema wako tayari kushinda viti vingi kwenye uchaguzi mkuu ujao.Akiongea na wanahabari mjini Kitale baada ya kupokea […]
-
WAKAZI LOMUT POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA MAKALI YA NJAA.
Wakazi wa eneo la Lomut katika kaunti hii ya Pokot magharibi hasa walioyahama makwao kutokana na ukosefu wa usalama eneo la chesogon mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na […]
Top News










